Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

Unamjua au unamsikia. Subili muziki wake 2020 kuhusu urais!!!!
Sidhani kama ameenda CDM kwa kusaka urais!! Narudia tena mgombea wetu wa kudumu ni EDWARD LOWASA asituletee shombo. Yeye agombee nafasi zingine
 
Jumba kubwa halipimiki mkuu

Weka ukubwa huo katika parameter labda area, cost, paa au milango au madilisha

Watu wasiotaka usumbufu watakwambia ka picha please wakitaka kujua vitu hivyo hivyo juu

Vinginevyo ni propaganda za kawaida inayoweza kupeleka hii ikiwa 'rubbish thread ever'
 
Jamani mapovu haya hata yangekuwa kweli ukiyatoa leo baada ya jamaa kuhama chama utaonekana ni kumsakama mda wote mlikuwa wapi? Hii haihitaji kuwa na degree kujua kuwa sasa anasakamwa kwa kuwahama. Povu povu povu why?
 
Mimi ni mkazi wa Arusha mjini na nilishawahi nunua kiwanja kule Sanawari ya Juu Arusha jirani na alikojenga Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu jumba kubwa na nafikiri anaishi humo kwa sasa na amebase Arusha badala ya Singida au Arusha na Dar kama walivyo wabunge wengi wa CCM na upinzani.

Tusishangae 2020 Nyalandu akigombea ubunge Arusha Magharibi kama atashindwa Urais kupitia CDM.

Nashauri tu tunapojadili siasa na wanasiasa tusizame sana kuwatetea maana hatuwajui wala hatutawajua unless wewe nawe ni mwanasiasa au mnufaika wa siasa chafu za TZ
Mbona Mkapa amejenga jumba kubwa Lushoto, hoka yako ni ya chuki Haifa kwenye kundi la Great Thinkers.
 
Mimi ni mkazi wa Arusha mjini na nilishawahi nunua kiwanja kule Sanawari ya Juu Arusha jirani na alikojenga Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu jumba kubwa na nafikiri anaishi humo kwa sasa na amebase Arusha badala ya Singida au Arusha na Dar kama walivyo wabunge wengi wa CCM na upinzani.

Tusishangae 2020 Nyalandu akigombea ubunge Arusha Magharibi kama atashindwa Urais kupitia CDM.

Nashauri tu tunapojadili siasa na wanasiasa tusizame sana kuwatetea maana hatuwajui wala hatutawajua unless wewe nawe ni mwanasiasa au mnufaika wa siasa chafu za TZ

Inatuhusu nn hii?
 
Amekua mbunge kwa Miaka 17 Sishangai Akiwa na Nyumba Kubwa hata akina Sugu waliongia 2010 wana Majumba Makubwa Sembuse Lazaro Nyalandu aliyeingia Bungeni mwaka 2000 huku akishika Nyadhifa Nyingi ndani ya Chama pamoja na Uwaziri.

Tuache wivu.
 
Mimi ni mkazi wa Arusha mjini na nilishawahi nunua kiwanja kule Sanawari ya Juu Arusha jirani na alikojenga Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu jumba kubwa na nafikiri anaishi humo kwa sasa na amebase Arusha badala ya Singida au Arusha na Dar kama walivyo wabunge wengi wa CCM na upinzani.

Tusishangae 2020 Nyalandu akigombea ubunge Arusha Magharibi kama atashindwa Urais kupitia CDM.

Nashauri tu tunapojadili siasa na wanasiasa tusizame sana kuwatetea maana hatuwajui wala hatutawajua unless wewe nawe ni mwanasiasa au mnufaika wa siasa chafu za TZ
Watanzania mnafurahia mtu akiwa maskini,,,kuwa middleman sio kosa kisheria hata wewe unaruhusiwa,,,
 
Kwani kujenga jumba kubwa nalo ni kosa?

Hivi kwanini yote hayo hamkuyasema mpaka amejiondoa?
Inamaana ukiwa mwizi ccm ni sawa ila ukitoka tu ndio unakuwa mhalifu?
 
Sidhani kama ameenda CDM kwa kusaka urais!! Narudia tena mgombea wetu wa kudumu ni EDWARD LOWASA asituletee shombo. Yeye agombee nafasi zingine
Juzi juzi nilikuwa naongea naye. Inaonyesha alifikiri atateuliwa kuwa Waziri. Huyu jamaa kwa urais ni sawa na mwigulu na Makamba. Ni kama ugonjwa na Mbowe awe macho safari hii mh!! ngoja nifunge domo langu
 
Mimi ni mkazi wa Arusha mjini na nilishawahi nunua kiwanja kule Sanawari ya Juu Arusha jirani na alikojenga Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu jumba kubwa na nafikiri anaishi humo kwa sasa na amebase Arusha badala ya Singida au Arusha na Dar kama walivyo wabunge wengi wa CCM na upinzani.

Tusishangae 2020 Nyalandu akigombea ubunge Arusha Magharibi kama atashindwa Urais kupitia CDM.

Nashauri tu tunapojadili siasa na wanasiasa tusizame sana kuwatetea maana hatuwajui wala hatutawajua unless wewe nawe ni mwanasiasa au mnufaika wa siasa chafu za TZ
unamuongelea huyu kigogo mbona humuongelei bashite mwaka mmoja tu ghorofa magari ya kifahari anayopewa na wauza unga..
 
Mimi ni mkazi wa Arusha mjini na nilishawahi nunua kiwanja kule Sanawari ya Juu Arusha jirani na alikojenga Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu jumba kubwa na nafikiri anaishi humo kwa sasa na amebase Arusha badala ya Singida au Arusha na Dar kama walivyo wabunge wengi wa CCM na upinzani.

Tusishangae 2020 Nyalandu akigombea ubunge Arusha Magharibi kama atashindwa Urais kupitia CDM.

Nashauri tu tunapojadili siasa na wanasiasa tusizame sana kuwatetea maana hatuwajui wala hatutawajua unless wewe nawe ni mwanasiasa au mnufaika wa siasa chafu za TZ
Hilo jumba kubwa ni kama kasri la mfalme wa Brunei?
Hivi kuna kiongozi wa ngazi ya juu ndani ya ccm na serikali yake hana jumba kubwa? Mbona wengine wana majumba wamo serikalini na wala hawasemwi?
Hiko chama chenu kimejaa unafiki na roho mbaya,mtu akitoka ndio mnaibua maovu yake na akiwa ndani ni mtamu zaidi ya asali.
 
Back
Top Bottom