Baada ya serikali Tanzania kuruhurusu Madaktari kwenda Kenya kutoa huduma, Je itakuwa tayari kuruhusu Walimu kwenda Kenya baada kugoma?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Wanajamvi kama mtakumbuka serikali yetu ya Tanzania iliruhusu Madaktari watakaopenda kwenda kutoa huduma Tiba nchini Kenya, baada ya Madaktari nchini humo kufanya mgomo, wajitokeze na kuomba nafasi, baada ya kujitokeza ikaishia kimyakimya.

Swali ninalojiuliza kesho January 03 2019 shule zinafunguliwa nchini Kenya na taarifa zilizopo kwenye vyombo vya habari Waalimu nchini humo wataendesha mgomo, Je! Tanzania itakuwa tayari kuruhusu Walimu kuombakazi nchini Kenya.???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ebu tikisa io kichwa yako kidogo
 
Lol. ..wanafunzi wa Kenya hawako tayari kusikia zezezezezeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…