nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Wanajamvi kama mtakumbuka serikali yetu ya Tanzania iliruhusu Madaktari watakaopenda kwenda kutoa huduma Tiba nchini Kenya, baada ya Madaktari nchini humo kufanya mgomo, wajitokeze na kuomba nafasi, baada ya kujitokeza ikaishia kimyakimya.
Swali ninalojiuliza kesho January 03 2019 shule zinafunguliwa nchini Kenya na taarifa zilizopo kwenye vyombo vya habari Waalimu nchini humo wataendesha mgomo, Je! Tanzania itakuwa tayari kuruhusu Walimu kuombakazi nchini Kenya.???
Sent using Jamii Forums mobile app