Baada ya Serikali ya Kenya kushirikiana na wazungu kuwadhulumu wananchi ardhi, Mungiki waingilia kati kuwatisha wazungu

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Del Monte, Kenyatta family na wanasiasa wa Kenya, wanashikilia zaidi ya 89% ya ardhi ya Kenya, jambo linaloifanya Kenya kuwa nchi yenye njaa kuliko zote hapa Africa.

Baada ya kugundua kwamba serikali ya Kenya inashirikiana moja kwa moja na wazungu kuwatesa na kuwadhulumu raia wake ardhi, genge la Mungiki ambalo ni genge katili na Mafia kutoka kabila teule la Kenya, limeamua kuwatetea wananchi wa kabila lao kwa kuwatisha wazungu ili kurudisha sehemu ya ardhi kwa wananchi.
 
huu uzi umejiepusha nao kabisa 🤣 🤣🤣🤣🤣, pole kwa maumivu! dawa ya deni ni kulipa.
hivi kuwakomboa waSauzi hakusaidii na madeni??
 
huu uzi umejiepusha nao kabisa [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], pole kwa maumivu! dawa ya deni ni kulipa.
hivi kuwakomboa waSauzi hakusaidii na madeni??
Mungiki wanawathamini na kuwapenda wakenya zaidi ya serikali.
 
hapo sawa kabisa, usipolijua ni kuwa mungiki ni wajukuu wa maumau wakombozi wa Kenya.
swali ni mbona story za kudakwa kwa drimulina hutaki kuzisikia? vyuma vimekaza hivyo chato aisee??
 
Zungumzia kuhusu ardhi yenu iliyoporwa na wazungu jambo linalisababisha kuwa nchi pekee ambayo bado wananchi wake wanakufa kwa njaa hapa duniani. Hivi kweli mnadirki kulinganisha maisha ya wakenya na ndege?
 
pole mzee kwa maumivu

images.jpeg
 
60 percent of land in Kenya falls under community land .Siasa na propaganda nyingi muache .
Zungumzia kuhusu ardhi yenu iliyoporwa na wazungu jambo linalisababisha kuwa nchi pekee ambayo bado wananchi wake wanakufa kwa njaa hapa duniani. Hivi kweli mnadirki kulinganisha maisha ya wakenya na ndege?
 
60 percent of land in Kenya falls under community land .Siasa na propaganda nyingi muache .
80% of fertile land in Kenya belongs to whites and politicians. But you may be right because about 70% of Kenya is semi desert, nearly all this desert part is owned by poor Kenyans.
 
Ukweli mtupu! Hongera sana mleta mada, nimejifunza kitu kutoka kwa taarifa yako hii. Kwamba dawa ya deni ni kulipa! 😎
 
Kemu leta hyo ramani ya 89% tuione hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Del Monte, Kenyatta family na wanasiasa wa Kenya, wanashikilia zaidi ya 89% ya ardhi ya Kenya, jambo linaloifanya Kenya kuwa nchi yenye njaa kuliko zote hapa Africa.

Baada ya kugundua kwamba serikali ya Kenya inashirikiana moja kwa moja na wazungu kuwatesa na kuwadhulumu raia wake ardhi, genge la Mungiki ambalo ni genge katili na Mafia kutoka kabila teule la Kenya, limeamua kuwatetea wananchi wa kabila lao kwa kuwatisha wazungu ili kurudisha sehemu ya ardhi kwa wananchi.
 
"Sisi tunaingia South Africa bure bila visa kwa sababu tuliwakomboa South Africa kutoka kwa mabeberu. Kenya ilisaliti nchi za Africa". Kauli hii imepotea sana, sijaisikia kwa muda kunani joto la jiwe ?
 
Acheni kuharibu huu uzi. Kenya mpo na matatizo ya msingi kuhusu ardhi, nchi yenu ipo na shida kila eneo, inaonekama mumekata tamaa ya maisha, hamuwezi kutatua matatizo ya msingi ya nchi yenu badala yenu badala yake mbashabikia vitu visivyokua na maana.
 
Back
Top Bottom