Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Unajuaje ni mke wake??Aisee budaboss, fanya mzaha na kitu chochote ila sio na mke wa mwenzako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuaje ni mke wake??Aisee budaboss, fanya mzaha na kitu chochote ila sio na mke wa mwenzako.
Watafute mungiki wakuonyeshe ramani
Acheni kuharibu huu uzi. Kenya mpo na matatizo ya msingi kuhusu ardhi, nchi yenu ipo na shida kila eneo, inaonekama mumekata tamaa ya maisha, hamuwezi kutatua matatizo ya msingi ya nchi yenu badala yenu badala yake mbashabikia vitu visivyokua na maana.
Kwahiyo kama tuliwakomboa hatupaswi kulipa Madeni?, kumbe ndio sababu mumejipanga kukataa maamuzi ya ICJ endapo itaonekana Somalia ndio wamiliki halali wa Eneo la bahari mnalogambania kwa kigezo kwamba mnawasaidia kupiga na na Alshabaab, hovyo kabisa ninyi.Sauzi tuliwakomboa
Dalili ya mvua ni mawingu.Unajuaje ni mke wake??
Kwahiyo kama tuliwakomboa hatupaswi kulipa Madeni?, kumbe ndio sababu mumejipanga kukataa maamuzi ya ICJ endapo itaonekana Somalia ndio wamiliki halali wa Eneo la bahari mnalogambania kwa kigezo kwamba mnawasaidia kupiga na na Alshabaab, hovyo kabisa ninyi.
Sasa hivi ni muda wa kujenga nchi yetu, hiyo vita mlijipeleka wenyewe, pambaneni na hali yenu.Njooni pia muwakomboe somalia...si nynyi ni ndo wakombozi wa africa
Sasa hivi ni muda wa kujenga nchi yetu, hiyo vita mlijipeleka wenyewe, pambaneni na hali yenu.
Madeni tutalipa, na ninyi rudisheni ardhi kwa wananchi, sio ardhi yote nzuri mnawapa wazungu.Lipeni madeni basi
Madeni tutalipa, na ninyi rudisheni ardhi kwa wananchi, sio ardhi yote nzuri mnawapa wazungu.