joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Del Monte, Kenyatta family na wanasiasa wa Kenya, wanashikilia zaidi ya 89% ya ardhi ya Kenya, jambo linaloifanya Kenya kuwa nchi yenye njaa kuliko zote hapa Africa.
Baada ya kugundua kwamba serikali ya Kenya inashirikiana moja kwa moja na wazungu kuwatesa na kuwadhulumu raia wake ardhi, genge la Mungiki ambalo ni genge katili na Mafia kutoka kabila teule la Kenya, limeamua kuwatetea wananchi wa kabila lao kwa kuwatisha wazungu ili kurudisha sehemu ya ardhi kwa wananchi.
Mungiki wanawathamini na kuwapenda wakenya zaidi ya serikali.huu uzi umejiepusha nao kabisa [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], pole kwa maumivu! dawa ya deni ni kulipa.Poleni Jirani Zetu Kwa Hili La Ndege Lenu Kushikiliwa SA
Nimeskia ya kwamba ndege yenu iliyokuwa imeenda SA imekamatwa. Naona hawa watu ambao nyie hudai kuwa mliwakomboa hawana shukrani. Poleni sana kwa hiliwww.jamiiforums.com
hivi kuwakomboa waSauzi hakusaidii na madeni??
hapo sawa kabisa, usipolijua ni kuwa mungiki ni wajukuu wa maumau wakombozi wa Kenya.Mungiki wanawathamini na kuwapenda wakenya zaidi ya serikali.
Zungumzia kuhusu ardhi yenu iliyoporwa na wazungu jambo linalisababisha kuwa nchi pekee ambayo bado wananchi wake wanakufa kwa njaa hapa duniani. Hivi kweli mnadirki kulinganisha maisha ya wakenya na ndege?hapo sawa kabisa, usipolijua ni kuwa mungiki ni wajukuu wa maumau wakombozi wa Kenya.
swali ni mbona story za kudakwa kwa drimulina hutaki kuzisikia? vyuma vimekaza hivyo chato aisee??
Zungumzia kuhusu ardhi yenu iliyoporwa na wazungu jambo linalisababisha kuwa nchi pekee ambayo bado wananchi wake wanakufa kwa njaa hapa duniani. Hivi kweli mnadirki kulinganisha maisha ya wakenya na ndege?

80% of fertile land in Kenya belongs to whites and politicians. But you may be right because about 70% of Kenya is semi desert, nearly all this desert part is owned by poor Kenyans.60 percent of land in Kenya falls under community land .Siasa na propaganda nyingi muache .
Jamaa wa kuikomboa sauzi Africa80% of fertile land in Kenya belongs to whites and politicians. But you may be right because about 70% of Kenya is semi desert, nearly all this desert part is owned by poor Kenyans.
Del Monte, Kenyatta family na wanasiasa wa Kenya, wanashikilia zaidi ya 89% ya ardhi ya Kenya, jambo linaloifanya Kenya kuwa nchi yenye njaa kuliko zote hapa Africa.
Baada ya kugundua kwamba serikali ya Kenya inashirikiana moja kwa moja na wazungu kuwatesa na kuwadhulumu raia wake ardhi, genge la Mungiki ambalo ni genge katili na Mafia kutoka kabila teule la Kenya, limeamua kuwatetea wananchi wa kabila lao kwa kuwatisha wazungu ili kurudisha sehemu ya ardhi kwa wananchi.
Aisee budaboss, fanya mzaha na kitu chochote ila sio na mke wa mwenzako.Mhh Cc: mahondaw
Kweli wazungu ni miungu hadi kicheko cha picha ya mzungu
Watafute mungiki wakuonyeshe ramaniKemu leta hyo ramani ya 89% tuione hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acheni kuharibu huu uzi. Kenya mpo na matatizo ya msingi kuhusu ardhi, nchi yenu ipo na shida kila eneo, inaonekama mumekata tamaa ya maisha, hamuwezi kutatua matatizo ya msingi ya nchi yenu badala yenu badala yake mbashabikia vitu visivyokua na maana."Sisi tunaingia South Africa bure bila visa kwa sababu tuliwakomboa South Africa kutoka kwa mabeberu. Kenya ilisaliti nchi za Africa". Kauli hii imepotea sana, sijaisikia kwa muda kunani joto la jiwe ?
60 percent of land in Kenya falls under community land .Siasa na propaganda nyingi muache .