Baada ya Serikali ya Kenya kushirikiana na wazungu kuwadhulumu wananchi ardhi, Mungiki waingilia kati kuwatisha wazungu

Sauzi tuliwakomboa
 
Sauzi tuliwakomboa
Kwahiyo kama tuliwakomboa hatupaswi kulipa Madeni?, kumbe ndio sababu mumejipanga kukataa maamuzi ya ICJ endapo itaonekana Somalia ndio wamiliki halali wa Eneo la bahari mnalogambania kwa kigezo kwamba mnawasaidia kupiga na na Alshabaab, hovyo kabisa ninyi.
 
Njooni pia muwakomboe somalia...si nynyi ni ndo wakombozi wa africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…