Baada ya SGR kuishia porini, mradi mwengine wa "oil refinery" wafutwa

Next time fanya research instead of posting irrelevant info. You bongolalas should be ashamed of your pathetic selves!
Jibu hoja, kwani Bagamoyo ni " Public project?, au mlikua hamjui?
 
yaani hawa watu wanajua kila kitu kuhusu Kenya time at a VP wao sijui
 
Wajigamba na projects za Kenya wakati ambapo buagamoyo na oil pipeline nimekwama?
unawashwa wewe..... bomba limetoka mtwara mpaka dar, linasubiri bandari ya bagamoyo ambayo Magu kazuia mradi baada ya kugundua upigwaji..... KAZIKENI YULE ALIYEKUFA KWA KUGOMBEA KUMBIKUMBI KWANZA.
 
Ya albino ni kweli Kaka...huwezi ficha ukweli kamwe
Kwani ya Jaluo ni uongo?, wajaluo wa ngapi waliouliwa katika vipindi vya uchaguzi, au viongozi wangapi wa kiislamu kule pwani waliouliwa na serikali yenu dhalimu?. Wakati wauwaji wa albino ni "criminal act" kama ilivyo terrorism huko kwenu, mauaji ya wajaluo na waisilamu ni " Government sponsored activities, hovyo kabisa ninyi.
 
Vipi Jiwe kapata nafuu?
 
Albino huaga wanakuumiza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani ya Jaluo ni uongo?, wajaluo wa ngapi waliouliwa katika vipindi vya uchaguzi, au viongozi wangapi wa kiislamu kule pwani waliouliwa na serikali yenu dhalimu?. Wakati wauwaji wa albino ni "criminal act" kama ilivyo terrorism huko kwenu, mauaji ya wajaluo na waisilamu ni " Government sponsored activities, hovyo kabisa ninyi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo sawa hiyo ni project inayo muhusu moja Kwa moja komora maana aliwai kuleta Uzi wa kukwama Kwa mzigo wake wa vifuko vya flytoilet Kwa mamlaka za mapato kenya
 
Tulia mzee baba...punguza jazba kwanza
Wakenya ni wapumbavu kama wanigeria kutwa kusifia miji yao kumbe ni kutokutembea miji ya nchi zingine zinawafanga wawe mambumbumbu na kujusahau sasa jiji kama lagos linatofauti gani na kampara na Nairobi nimecheki video za YouTube za lagos sijaamini nilicho kiona lagos haifikii dar es salaam hata Kwa nusu kila kitu lagos ni chakavu mji vumbi tupu ,sasa sijui miaka miwili ijayo sisi tutakuwa mbali Mara tatu ya tulipo
 
Kwani ya Jaluo ni uongo?, wajaluo wa ngapi waliouliwa katika vipindi vya uchaguzi, au viongozi wangapi wa kiislamu kule pwani waliouliwa na serikali yenu dhalimu?. Wakati wauwaji wa albino ni "criminal act" kama ilivyo terrorism huko kwenu, mauaji ya wajaluo na waisilamu ni " Government sponsored activities, hovyo kabisa ninyi.
Sawa
 
Back
Top Bottom