Baada ya shambulizi la Israel dhidi ya Iran kufeli, wafuasi wake hawaamini na wamebabaika

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Baada ya shambulizi la Israel dhidi ya Iran kuzuiliwa na mifumo ya anga ya Iran inaoneka wafuasi wa taifa teule wa humu JF hawaamini ndo maana kila dakika wanaanzisha nyuzi za kujifariji.

Mara mifumo ya ulinzi ya Iran imeharibiwa ,mara viwanda vya makombora vimeharibiwa, mara warazimishe tuamini kuwa ndege za Israel ziliingia ndani ya anga la Iran wakati hata vyombo vya habari vya Israel vinaripot kuwa mashambulizi yanefanyika kutokea kwenye anga ya Iraq km 100 kutoka mpakani mwa Iran.

Lakini mpaka sasa hawajatuletea ushahidi wa hizo tumba wanazo ziandika humu. Na kuonesha wanavyo babaika wanatuwekea mpaka video za makombora ya Iran yakiipiga Israel na kudai ndo shambulizi la Israel dhidi ya Iran 😃😀.

Wote tumeshudia video za mifumo ya ulinzi ya Iran ikiyaangusha makombora sasa na nyinyi tuletee video ya makombora yakitua na kuharibu hivyo mnavyovisema.

Kwenye shambulizi la Iran October1 tuliona kwa macho yetu makombora yakipiga mpaka Marekani akarazimika kuleta mifumo yake baada ya kuona ya Israel ni takataka, sasa na nyinyi tuleteeni ushahidi acheni kuturazimisha tuamini mambo ya kusadikika.

Hata vyombo vya habari vya kimagharibi vinajaribu kulikuza shambulizi la Israel lakini kwenye comment watu wanavipa za uso.

Your browser is not able to display this video.
 
Unaweza kuficha lakini ogopa technology huwezi kuificha. Satellite zawaumbua Ayotollahs madhara yaliyosababishwa na mashambulizi ya ndege za Israeli 🤔
....
 
Mleta mada wewe endelea kujifariji tu wakati Iran wamekimbilia UN kudai kuwa mashambulizi ya Israel yamewavua nguo (mifumo ya Iran ya usalama kuharibiwa vibaya), hivyo UN iwadhibiti haraka Israel.

Kichapo kipo pale pale.
 
Mleta mada wewe endelea kujifariji tu wakati Iran wamekimbilia UN kudai kuwa mashambulizi ya Israel yamewavua nguo (mifumo ya Iran ya usalama kuharibiwa vibaya), hivyo UN iwadhibiti haraka Israel.

Kichapo kipo pale pale.
Embu acha uongo haukufai mkuu.
Iran imeenda kulalamika Israel iwekewe vikwazo nothing else,sio huu utopolo uloongea hapa.
Pia hakuna mifumo ya ulinzi iliyoharibika Iran huu uongo acha.
 
Hata Iran yenyewe ili ripoti kutokea uharibifu kidogo kwenye kambi zake kutokana na vufusi vya makombora yaliyo kuwa yakidunguliwa.
 
Mleta mada wewe endelea kujifariji tu wakati Iran wamekimbilia UN kudai kuwa mashambulizi ya Israel yamewavua nguo (mifumo ya Iran ya usalama kuharibiwa vibaya), hivyo UN iwadhibiti haraka Israel.

Kichapo kipo pale pale.
Israel ilipo shambuliwa na Iran haikuishia kulalamika bali ilifikia kumpiga marufuku katibu mkuu wa UN kuingia Israel kisa hajalaani mashambulizi hayo.
 
Wewe kama siyo mvaa kobazi sijui, wazee wa mito ya pombe na mabikra 72 kila mmoja pindi mkifa, mudi aliwaweza sana
 
Hata Iran yenyewe ili ripoti kutokea uharibifu kidogo kwenye kambi zake kutokana na vufusi vya makombora yaliyo kuwa yakidunguliwa.
Hivyo vichumachuma S-300 mlivyopewa na Urusi vimelipuliwa. Tatizo la Iran hawajajificha kwenye chaka la raia kama Hamas na Hezbollah. Kambi zao zimejitenga na watu Sasa wanaona aibu kueleza kuhusu hasara waliyopata🤔
...
 
Hizo image za zamani sana ume google
 
Kabisa mkuu, hapa utaona wale wafuasi wa mudi ambao wamehaidiwa mabikra 72 na mito ya pombe pale wakifa. Wazee wa kufuga majini
Vita ni kubwa kati ya unaosema wafuga majini na wanywa damu za watu yani mashetani ya freemason yanayo force kila mtu ayaabudu kwa kigezo cha kujiita wateuliwa wa mungu.

Wafuga majini ni marijali ndomaana wana uwezo wa kulala na wanawake 72 bila kuchoka. Halafu wanywa damu za watu wao ni mashoga (wafirwa, aji) ndomaana unaona hata kiongozi wao mkuu anajiita bibi badala ya babu 😂😂😂

So ukisimama upande wa wafuga majini wewe ni rijali mwenzao.

Ila ukisimama upande wa wanyonya damu wa freemason basi wewe ni mfirwa, aji.

Wewe unasimama upande upi hapo?
 
 
Hadi leo hakuna video au picha?
 
Kina Netanyahu wa Korogwe hapa hauwezi kuwaona.
 
Pole sana mvaa nepi wa vigwaza. Naona shambulizi lililopangwa na bibi yenu limeshindwa.
So mkuu na wewe ukifa utapewa hao mabikra 72 au ni kwa ajiri ya waarabu wenye dini yao? Mudi bingwa
 
Kwa sinwar mbona hamjaleta picha ya satellite,, yaani camera zote za chini zimeshindwa kuchukua picha za tukio tukaona clear .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…