Baada ya Shem kuondoka nimeona nishughulike na Sister...asilete mchezo kabisa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Ana ujinga mwingi sana. Masters yake na uzuri basi anaona amemaliza kila kitu. Ana ujeuri na kiburi. Watu tunakaa hapa hatuna amani.

Maana imebidi nimuulize je shem akishindwa kuvumilia akaamua kumpiga chini sisi tutaenda wapi? Au akaamua kumuolea mke mwingine?

Nimemchana sana na kidogo nimuwambe makofi. Kuwa asijifikirie yeye peke yake...aangalie na sisi tulio nyuma yake. Anaweza pewa talaka kipumbavu tu....kisha watu tukaanza kuteseka.

Shem kwa kweli anajitahidi huyu dada yetu alishashindikana. Kiburi sana. Mpaka siku anaonelewa tulikuwa hatuamini. Na tulifurahi sana siku hiyo.sana. maana hata home tulishamchoka. Ana kiburi,mvivu.

Sasa nimemwambia ashukuru shemeji kamwoa maana watu walikuwa wanaaacha posa wanakimbia.kiburi na jeuri. Mimi kwa kweli nakaa hapo basi tu ni kwa sababu ya kulinda ndoa yao. Bila hivyo ningekuwa kwangu na madeal yangu ya pesa mengi sana.mamilion.

Sasa nakaa hapa kumweka sawa sister.maana mimi ndo huwa ananiogopa anajua kichwa hiki kibovu...mwenyewe huniita kama wa mibangi... So nimemwambia akiharibu halafu tukafukuzwa ndo ataijua mibangi yangu vizuri. Na kiukweli ananielewa...mi huwaga sirembi kabisa.

Kanitolea nguo za shem ninyooshe kwa hasira.nami nanyoosha tu haina noma wala nini. Baada ya hapa napumzika nacheck movie. Jiooooooni nachukua gari yake nimfuate Mwantumu....maana naye yule bidada anapenda magari utadhani ye analo hata bovu.

Jamani msiache kuwanyoosha dada zenu wanapo misbehave....
 
Mkuu nakuona kwenye vita kali kabisa kupambania nafasi yako kwenye nyumba ya shemeji yako.

Mnyooshe sister mpaka akomae. Nanukiona taabu sana usimnyime pia shemeji ili asije akawarudiaha barabarani.

Shwain wahed
 
FB_IMG_16616832737754819.jpg
 
Namuona shemeji yako akipeleka posa Nyingine kwenu pambania mkuu umebakiza padogo tu upate madaraka kamili
 
Dada aache ufala, ina maana hajui akizingua yeye atasababisha mke wa pili (mtoa mada) kufukuzwa.!
 
Ana ujinga mwingi sana. Masters yake na uzuri basi anaona amemaliza kila kitu. Ana ujeuri na kiburi. Watu tunakaa hapa hatuna amani.

Maana imebidi nimuulize je shem akishindwa kuvumilia akaamua kumpiga chini sisi tutaenda wapi? Au akaamua kumuolea mke mwingine?

Nimemchana sana na kidogo nimuwambe makofi. Kuwa asijifikirie yeye peke yake...aangalie na sisi tulio nyuma yake. Anaweza pewa talaka kipumbavu tu....kisha watu tukaanza kuteseka.

Shem kwa kweli anajitahidi huyu dada yetu alishashindikana. Kiburi sana. Mpaka siku anaonelewa tulikuwa hatuamini. Na tulifurahi sana siku hiyo.sana. maana hata home tulishamchoka. Ana kiburi,mvivu.

Sasa nimemwambia ashukuru shemeji kamwoa maana watu walikuwa wanaaacha posa wanakimbia.kiburi na jeuri. Mimi kwa kweli nakaa hapo basi tu ni kwa sababu ya kulinda ndoa yao. Bila hivyo ningekuwa kwangu na madeal yangu ya pesa mengi sana.mamilion.

Sasa nakaa hapa kumweka sawa sister.maana mimi ndo huwa ananiogopa anajua kichwa hiki kibovu...mwenyewe huniita kama wa mibangi... So nimemwambia akiharibu halafu tukafukuzwa ndo ataijua mibangi yangu vizuri. Na kiukweli ananielewa...mi huwaga sirembi kabisa.

Kanitolea nguo za shem ninyooshe kwa hasira.nami nanyoosha tu haina noma wala nini. Baada ya hapa napumzika nacheck movie. Jiooooooni nachukua gari yake nimfuate Mwantumu....maana naye yule bidada anapenda magari utadhani ye analo hata bovu.

Jamani msiache kuwanyoosha dada zenu wanapo misbehave....
Acha kuvuta bange kijana
 
Back
Top Bottom