Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Muliro awalipe Polisi wa Watu, Askari wa Watu wako Mjini hawajapewa hata Mia Hadi muda huu.Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Wewe na Mnyika mmewasaliti viongozi wenu! Mmeingia mitiniMungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Hujui kitu kapuku weweWewe na Mnyika mmewasaliti viongozi wenu! Mmeingia mitini
Kwanini wewe na mnyika hamjakamatwa?Hujui kitu kapuku wewe
Kama kweli walikuwa na nia ya kweli ya kuandamana na siyo usanii watangaze kuendelea na maandamano hapo keshoMungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
safi sana acha wazungu waendelee kutawala dunia.Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
acha kupotoshaHao wameachiwa na si kwa shinikizo la watu au wazungu, wamehojiwa na kutoa maelezo na kuachiwa, kiroho safi, na jeshi letu lenye weledi mkubwa linalozingatia sheria na taratibu zake juu ya wanaokamatwa,
Ahahahahaha! Sasa hamna tena cha "Samia must go" ila mnashangalia eti akina Mbowe kutoka lupango! Ahahahahaha!!! KUMBAVU!!Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Hawajui watupe kesi gani, Muliro hana uwezo na tutahakikisha anang'olewa Dar es Salaam, Tupe wiki moja tuKwanini wewe na mnyika hamjakamatwa?
Huyu atang'olewa kirahisi sana 2025, Ni mwepesi kuliko pamba, Rais wa Nchi anategemea Shilole na Steve Nyerere wampe nchi! Uliona wapi?Ahahahahaha! Sasa hamna tena cha "Samia must go" ila mnashangalia eti akina Mbowe kutoka lupango! Ahahahahaha!!! KUMBAVU!!
Kajamaa leo kamekua kakali..Wewe na Mnyika mmewasaliti viongozi wenu! Mmeingia mitini
Mkuu wew uliachiwa muda gani mbona muda wote nakuona JF au huko mahabusu ulipewa simu?Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Mama Samia ni msikivu na muungwana sana atakaa nao na kuelewana kulijenga taifa pamoja. Namshauri arithia kuongoza pamoja kama ili kuondoa uhasama Utanganyika na Uzanzibar.Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Anaitwa meno ya mamba. Na mamba ni mnyama aliyezoea damu za kila kiumbe, hata binadamu anakamata na kula . Crocodiletoothacha kupotosha
Angalau na wewe ungeunganishwa na mbowe halafu uachiwe ila upo nyumbani kwako unahimiza maandamano hii si sawa.Hawajui watupe kesi gani, Muliro hana uwezo na tutahakikisha anang'olewa Dar es Salaam, Tupe wiki moja tu