Baada ya show kuisha waondoka kimya kimya polisi wawazuia wasiondoke

Baada ya show kuisha waondoka kimya kimya polisi wawazuia wasiondoke

Mada zake kiukweli za hovyo sana siku hizi! Anapost uongo na taarabu nyingi siku hizi! Then anashabikia vitu ambavyo mtu ukiwa na akili unaona ni kama immature posts hivi! Hivyo ndo nilivyoona kwa upande wangu
Exactly.
 
hii taarifa ni yaukweli au ni propaganda2?
kama ni kweli watu wamechafukwa sasa
 
Back
Top Bottom