GE2025 Baada ya Simba jana Kuvimba, CCM kuandaa Mamluki Tamasha la Yanga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Jana lilikuwa ni bonge la suprise CCM hawakutegemea kabisa walidhani simba wamesombwa ķwa malori kufika taifa.

Sasa ili kufuta makosa kesho camera man ataonyeshwa angle ya kuweka camera yake kwa kikundi ambacho kitakuwa kimeandaliwa kupiga vigelegele.

Mpaka sasa CCM wamenunua tickets 5000 kwa ajili ya kikundi chao cha mama.yao Mtajionea wenyewe kesho.

Ama kweli Jana Simba walituheshimisha sana kazi kwenu nyuma.mwiko. NRNE
 
Ulianza mada vizuri sana, hili ni jambo la kitaifa na ulipaswa kuonesha mshikamano sote kama wadau wa mpira juu ya siasa kutoingilia mpira.

Ulivyo mpumbavu mwisho umekwenda kumalizia kazi kwenu nyuma mwiko, andiko lako lote limeonekana halina maana tena.

Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akakubaliana na ujinga uliotaka kuletwa jana.
 
Sawa msituangushe
 
Hao wajinga 5000 bado hawana athari yoyote ile kwa mashabiki zaidi ya elfu 50. Muhimu mashabiki wakatae uhuni.

Michezo, ibada, misiba, harusi, nk. Ni baadhi ya matukio yanayo wakutanisha na kuwaunganisha watu wa makundi yote katika jamii. Sasa inapotokea wahuni wachache wakaamua kutumia matukio ya aina hiyo kuleta siasa zao za kizamani za kutaka kuwagawanya watu, au kupenyeza ajenda zao za kisiasa; kamwe wasiachwe wafanye vile wanavyotaka.

Mashabiki wasiofurahishwa na huu ujinga, waoneshe hisia zao kwa kuwazomea hao wanasiasa ili iwe funzo kwao.
 
Sisi kama yanga tutaunga mkono kile walichofanya simba, na sisi tunakaa kimya.
 
Simu hatapigiwa Msigwa, atapigiwa msemaji weo au raisi wao, leo hawachomoi lazima mama apigiwe kelele za kuzidi.
 
watu elfu 55000 mukiamua kuwagawana hao watu elfu 5000 =11 kwa 1 ,
sasa watu 11 kweli mutamshindwa mtu 1! kwa heshima na taadhima naomba muwabonde kweli kweli.
 
GT
Jana lilikuwa ni bonge la suprise CCM hawakutegemea kabisa walidhani simba wamesombwa ķwa malori kufika taifa.

Sasa ili kufuta makosa kesho camera man ataonyeshwa angle ya kuweka camera yake kwa kikundi ambacho kitakuwa kimeandaliwa kupiga vigelegele.

Mpaka sasa CCM wamenunua tickets 5000 kwa ajili ya kikundi chao cha mama.yao Mtajionea wenyewe kesho.

Ama kweli Jana Simba walituheshimisha sana kazi kwenu nyuma.mwiko. NRNE
Mpaka muda huu tickets hazijawa sold out
 
Yanga na Simba zote ni timu za Ccm. Ni mjinga pekee anayedhani Simba wana usmart wowote.
 
Ambacho kilitakiwa kufanywa ni kuweka watu wawili watatu waliovaa tshirt za Tundu Lissu katikati ya hao walioandaliwa. Wazivae kwa ndani hadi wakati sahihi.

Camera ikipelekwa hapo walipopanga, wanaonyeshwa tshirt za Lissu. Zoezi lao lote linavurugika na lazima wachanganyikiwe maana wanakuwa hawana Plan B.
 
Yanga aka Uto hawajakoma tu kuchanganya Siasa kwenye Soka. Haya waje na mabango ya mama yao wa Kambo waone rungu la FIFA.
Mpira ubakie Mpira na Sisa zibakie siasa.
 
Back
Top Bottom