The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Sawa msituangusheUlianza mada vizuri sana, hili ni jambo la kitaifa na ulipaswa kuonesha mshikamano sote kama wadau wa mpira juu ya siasa kutoingilia mpira.
Ulivyo mpumbavu mwisho umekwenda kumalizia kazi kwenu nyuma mwiko, andiko lako lote limeonekana halina maana tena.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akakubaliana na ujinga uliotaka kuletwa jana.
Mpaka muda huu tickets hazijawa sold outGT
Jana lilikuwa ni bonge la suprise CCM hawakutegemea kabisa walidhani simba wamesombwa ķwa malori kufika taifa.
Sasa ili kufuta makosa kesho camera man ataonyeshwa angle ya kuweka camera yake kwa kikundi ambacho kitakuwa kimeandaliwa kupiga vigelegele.
Mpaka sasa CCM wamenunua tickets 5000 kwa ajili ya kikundi chao cha mama.yao Mtajionea wenyewe kesho.
Ama kweli Jana Simba walituheshimisha sana kazi kwenu nyuma.mwiko. NRNE
Yanga na Simba zote ni timu za Ccm. Ni mjinga pekee anayedhani Simba wana usmart wowote.GT
Jana lilikuwa ni bonge la suprise CCM hawakutegemea kabisa walidhani simba wamesombwa ķwa malori kufika taifa.
Sasa ili kufuta makosa kesho camera man ataonyeshwa angle ya kuweka camera yake kwa kikundi ambacho kitakuwa kimeandaliwa kupiga vigelegele.
Mpaka sasa CCM wamenunua tickets 5000 kwa ajili ya kikundi chao cha mama.yao Mtajionea wenyewe kesho.
Ama kweli Jana Simba walituheshimisha sana kazi kwenu nyuma.mwiko. NRNE
Lakini mashabiki sio wa sisiemuYanga na Simba zote ni timu za Ccm. Ni mjinga pekee anayedhani Simba wana usmart wowote.
LAbda kama hao mashabiki sio watzLakini mashabiki sio wa sisiemu