USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
UTANGULIZI
rais Samia ameshasema yeye atajibu kwa vitendo na pia Kuna fununu kuwa hata wasaidizi wake wameambiwa wasijibu maana hakuna kurudi nyuma tena
KIHISTORIA
Hakuna jambo liliwahi kushindikina kimvuatano Kati ya CCM na upinzani na upinzani ukashinda kama lipo litaje ?
Hakuna taasisi ya kiserkali ya kimapato serkali iliwahi kuiendesha ikafanikiwa ndio maana wewe leo huoni watu wakipenda hospital,shule,hotel za serkali ikapendwa zaidi ya zile za binafsi ,mtafute mzee Nyerere umuulize Kama azimio la Arusha lilifanikiwa baada ya mali zote kuchukuliwa na serkali hata maduka ya ujamaa,magari na hospital zilimshinda na mwinyi kufungua kimyakimya.
UKWENI NI HUU UKIONA JAMBO LIMEPITISHWA HAPA JUA KINACHOFUATIA NI KELELE TU .
1.Jambo la bandari limesha pitishwa na Baraza la la mawaziri.
2. Jambo la bandari limesha pitishwa na bunge kwa kauli moja.
3 Jambo la bandari limesha pitishwa na Kamati kuu ya CCM
MAHAKAMA
Hakuna kitu pale ni siasa Kama siasa zingine za ndani ya vyumba vya mahakama tu (rejea hoja ya Rostam Aziz)
Hao majaji na mahakimu ni watumishi waaminifu wa CCM na rais hakuna jipya pale wamekula kiapo kwa rais na Bado wanakadi za CCM