Baada ya sumu Farid katuletea Roho

dawa yenu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
2,825
Reaction score
3,675
Farid Kubanda, mzee wa Mwanza Mwanza kaendelea kutikisa jiji kwa mikito yake heavy yenye line kali zilizoshiba ambazo bila kutumia akili kuzichanganua ni lazima akuache njiani. huu ni wimbo wake mwingione baada ya ule wa SUMU. Ngoma inaitwa "roho" kwenye kiitikio yupo yule king of the best melodies, ukiwa ni mkono wake P funk Majani. waungwana kila nikijaribu ku upload nashindwa mwenye ujuzi anisaidie.
 
Wimbo mzuri sana...jamaa ana uwezo mkubwa sana..
Nilipoisikiliza SUMU nikasema hapa Farid ndio amefika kwenye kilele cha ubora wake ila nilipoisikiliza ROHO nikaamini Farid bado ana mengi sana ya kutushangaza.
 
Sumu... Daily nitakaa mkao Wa pushup kama umbwa.
 
Kweli kila mtu na kipaji chake. Huwa najiuliiza Fid Q huwa anawaza nini nashindwa kuelewa.
 
Huu mstari huu uliniacha hoi sana "..... Bi. Kaka Idriss"

Au nilisikia vibaya kwenye sumu
 
Muziki wa Farid hauji kuisha, utaishi milele
 
beat kali, verse na michano mikali ila chorus mfalme wa masauti kazingua kiasi flani japo fidq alikuwa anatafuta utofauti wa radha... huwa namuona rama d, g nako, belle 9 au jux kwenye chorus hii..na sio huo jamaa
all in all kazi nzuri pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…