dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,825
- 3,675
Farid Kubanda, mzee wa Mwanza Mwanza kaendelea kutikisa jiji kwa mikito yake heavy yenye line kali zilizoshiba ambazo bila kutumia akili kuzichanganua ni lazima akuache njiani. huu ni wimbo wake mwingione baada ya ule wa SUMU. Ngoma inaitwa "roho" kwenye kiitikio yupo yule king of the best melodies, ukiwa ni mkono wake P funk Majani. waungwana kila nikijaribu ku upload nashindwa mwenye ujuzi anisaidie.