Sio rahisi Sis nimtu wao anauwezo mkubwa kiasi hao jamaa wataliwa vichwa hata kabla ya vita. Mapandikiz ya iran hayoBaada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi.
Je, hawa wapiganaji watafanikiwa ?
View: https://x.com/BroderickM_/status/1878204005450690640?t=mV3t7TJCfbPpIy2Ta18SXw&s=19
Hawa HTS ni wassuni sio washia hata watakachopigania ni kusimikwa utawala wa kissuni no way Iran mshia ata waunga mkono kwa kuweka utawala wa kissuni Egypt.Sio rahisi Sis nimtu wao anauwezo mkubwa kiasi hao jamaa wataliwa vichwa hata kabla ya vita. Mapandikiz ya iran hayo
Labda amechokwa maana nao hawa HTS wanaungwa mkono na magharibi na sasa ndio wa moto motoSasa General Al Sisi ana athari Gani mbaya Kwa wamagharibi?
Sisi ni loyalist wa Israel.
Ni loyalist wa EU.
Ni loyalist wa US..
Kila kitu ni ndio. Na hata hapo Syria Egypt alikuwa mpinzani wa al Assad.
Nb.Labda amechokwa maana nao hawa HTS wanaungwa mkono na magharibi na sasa ndio wa moto moto
Naam! Aibarikiye Israel atabarikiwa. Ailaaniye Israel, laana yake na iwe juu ya kichwa chake, na watoto wake, na watu wake!Hamjui al sisi huyo
Al sis. Anadamu ya yedea
Kwahiyo al sis akijegemeza kwa mayahud itakuwa mtihan mkubwa kwa icho kikundi
Yaaah upo sahihi Syria tu Assad ajaondoshwa na wasyria kwa asilimia kubwa bali wapiganaji wa nje.HTS yenyewe imejaa wachina, wasaudia,waturkmenistan, Armenians na wachenchen.
Ajabu!
HTS yenyewe imejaa wachina, wasaudia,waturkmenistan, Armenians na wachenchen.
Ajabu!
Mambo ya siasa unaanza kuingiza dini! Shida nini mTanzania?Naam! Aibarikiye Israel atabarikiwa. Ailaaniye Israel, laana yake na iwe juu ya kichwa chake, na watoto wake, na watu wake!
Yote yanawezekana au kuna mchezo unachezwa au Sisi kachokwa yote yanawezekana na hawa HTS wamejaza mercenary balaa hata huyu Jolani wa Syria pia hakuna uhakika mkubwa kama ni msyriaHamjui al sisi huyo
Al sis. Anadamu ya yedea
Kwahiyo al sis akijegemeza kwa mayahud itakuwa mtihan mkubwa kwa icho kikundi
Inashangaza na kufurahisha Jolani yupo kimya tu anazidi kupokea tu viongozi kutoka ulaya na kusisitiza amani na Israel au labda anajipanda tusubiri tuoneNb.
Waarabu watachezeshwa sindimba miaka hii vibaya. Bahati nzuri hawamjui adui Yao. Wanapigana wao Kwa wao tu. HTS wanahangaika na Al Sisi huku wanajisahaulisha ardhi Yao imemegwa juzi na Israel na hawana mpango wa kuipigania.
Aibu kubwa nchi yako imetwaliwa ardhi yake we badala ya kuipigania unahangaika na visivyokuhusu.
Poleni waarabu
Subir tuoneYote yanawezekana au kuna mchezo unachezwa au sisi kachokwa yote yanawezekana na hawa HTS wamezaa mercenary balaa hata huyu Jolani wa Syria pia hakuna uhakika mkubwa kama ni msyria
Jolan anaonekana ni mtata Sana ameficha makucha kumbuka bado kijana mdogo SanaInashangaza na kufurahisha Jolani yupo kimya tu anazidi kupokea tu viongozi kutoka ulaya na kusisitiza amani na Israel au labda anajipanda tusubiri tuone
Kama US anavobarikiwa huko LANaam! Aibarikiye Israel atabarikiwa. Ailaaniye Israel, laana yake na iwe juu ya kichwa chake, na watoto wake, na watu wake!
Yote yanawezekana ila anavyojiweka na sura yake ile ya upole unaweza sema ni mtu fulani hivi mstaarabu sana labda kaficha makucha yakeJolan anaonekana ni mtata Sana ameficha makucha kumbuka bado kijana mdogo Sana
Huyu atakuwa nyambizi kuliko hata gadaf na sadam๐๐๐
Muslim brotherhood hao wamekuja Kwa njia nyingine ngoja tuone mwisho utakuwaje.Sio rahisi Sis nimtu wao anauwezo mkubwa kiasi hao jamaa wataliwa vichwa hata kabla ya vita. Mapandikiz ya iran hayo
Huko kwenu hamfi; kwenu hakuna makaburi.K
Kama US anavobarikiwa huko LA