Baada ya Syria ya Assad Je, sasa ni zamu ya Egypt ya Sisi ? Movement ya kumtoa madarakani yahofiwa kuanza

Shida ya jamiiforum ya siku hizi imejaa ushabiki tu badala ya nondo kama zamani, mpaka nafika hapa comment ya 24 sijaona uchambuzi wowote wa kina

Je misiri Kuna shida gani mpaka jamaa wanataka kupindua meza wanataka nini hao jamaa? Wanataka sharia za kiislamu au wanataka Uhuru wa watu wote au ni fujo tu kama za mbowe kulazimisha kuendelea kuwa mwenyekiti chadema wakati hana jipya?

Pascal Mayalla gTurn Mohamed Said Malaria 2
 
kwani hapa Tanzania kuna shida gani hata watu wanataka CCM iondoke ??
 
Jolan anaonekana ni mtata Sana ameficha makucha kumbuka bado kijana mdogo Sana
Huyu atakuwa nyambizi kuliko hata gadaf na sadam😀😀😀
Akijifanya mjanja basi mchezo unaweza ukarudiwa Syria.

He must be ready to toe the line for his own security and his nascent government.
 
Shida ya jamiiforum ya siku hizi imejaa ushabiki tu badala ya nondo kama zamani, mpaka nafika hapa comment ya 24 sijaona uchambuzi wowote wa kina

Je misiri Kuna shida gani mpaka jamaa wanataka kupindua meza wanataka nini hao jamaa? Wanataka sharia za kiislamu au wanataka Uhuru wa watu wote au ni fujo tu kama za mbowe kulazimisha kuendelea kuwa mwenyekiti chadema wakati hana jipya?

Pascal Mayalla gTurn Mohamed Said Malaria 2
Misri hali ya uchumi sio sema media zimebwanwa sana asikuambia mtu watu wanasafocate sana na mkusanyiko wowote ule unashangaa wwtu wa usalama wameshaafika .. sema huwezi sikia kokote kwa kuwa isis ni mtu wao na anahingwa ili kuhakikisha israel inakuwa salama
 
Nje ya mada, ila madaraka kitu kibaya sana, assad kakomaa syria imekuwa takataka mwishowe kakimbia, kwa nn hakukimbia tangk mwanzo?
 
Al sisi ni mbabe mno. Jinsi alivyovunja lile vuguvugu la maandamano kibabe kwa kuwakamata na kuwahukumu kifo wale viongozi wa maandamano.

Kumtesa yule kiongozi aliyepinduliwa mpaka akafia jela, watamuweza kweli?
 
Kwani yeye ndo anaenda front?
 
Al sisi ni mbabe mno. Jinsi alivyovunja lile vuguvugu la maandamano kibabe kwa kuwakamata na kuwahukumu kifo wale viongozi wa maandamano.

Kumtesa yule kiongozi aliyepinduliwa mpaka akafia jela, watamuweza kweli?
Usa wakishaamtumia kwa niaba ya israel wanamtupa kianaandaliwa kikundi na kianaoewa sapoti ya kutosha
 
Back
Top Bottom