Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi binafsi ningeishauli tuwekeze zaidi katika soka la vijana kwani ndio njia sahii kuwatoa vijana kwenda kwenye ligi kubwa ulaya kwasababu kwetu hapa tuanza kumjua mchezaji tayari amesha kuwa over 27 katika soka la ushindani tutaferi tuu
Falsafa ya kubutua mpira uende mbele Sijui wamefundishwa na nani. Kwamba Wapinzani wakipokonywa mpira na nyinyi basi mnawarudishia tena ili waendelee kuuchezea nyie muwakabe. Kasumba mbaya sana hii aisee...