Baada ya Taliban kuichukua Afghanistan, Al-Shabaab nao waongeza juhudi za kujilipua mabomu

Baada ya Taliban kuichukua Afghanistan, Al-Shabaab nao waongeza juhudi za kujilipua mabomu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jamaa wamepata mzuka na kulianzisha upya. Wanajilipua kwenye masoko na ndani ya kandamnasi, haya mafundisho ya kidini yataitesa dunia.

========

Somali military officers

Somali military officers on a street in the capital Mogadishu on April 25, 2021. PHOTO | AFP

At least two people were killed and five wounded Thursday after a suicide bomber detonated a device inside a cafe in the Somali capital Mogadishu, police and witnesses said.

The suicide bomber targeted a tea shop near a crowded junction in northern Mogadishu which was reportedly frequented by members of the Somali security forces as well as civilians.

The Al-Qaeda-linked group Al-Shabaab claimed the attack through their Shahada News Agency, according to the US monitoring group SITE.

The early-evening attack, which sent debris flying outside, killed two members of the security forces and injured five people, said Mohamed Ali, a traffic policeman who was at the scene.

"Pieces of metal and destroyed plastic seats were strewn around the whole area," said Abdukadir Sagaalle, an eyewitness.

Al-Shabaab, which is fighting to overthrow Somalia's internationally-backed government, regularly attacks government and civilian targets in Mogadishu.

Last month, the jihadists claimed responsibility for a suicide bombing on a crowded tea shop in Mogadishu that killed at least 10 people and wounded dozens.

The group controlled Somalia's capital until 2011 when it was pushed out by African Union troops, but still holds territory in the countryside.

 
Mkuu hii ni ya April kabla hata Taliban kuchukua nchi.
Wakati mwengine muwe munapunguza uongo. Sio kila anaeingia JF ni mjinga.

Jifunze kusoma kabla haujaanza kutetea hao majuha wenu wa dini, hiyo picha ndio ya April, ila majuha wamejilipua jana tarehe 20 Agosti 2021, fungua link.
 
Nyie wakenya Al-Shabab watakuja kuiteka nairobo muda mfupi ujao maana jamaa wameanza kufika mpaka busia na kakamega
 
Kulizungumzia suala usilolijua ni changamoto. Mimi ni muislam, katika mafundisho si ruhusa kutoa nafsi ya mtu tena haswa ambaye hana ukorofi na wewe, dini yetu ina sheria zake na mipaka yake mpaka kwenye vita, ukisoma vizuri utagundua hawa wapuuzi wana yao, hawana elimu yaa kutosha (wako brainwashed) na wale wenye elimu ya kutosha wana matamanio yao binafsi.

Nakubali zipo aya(tuite aya ni maelezo) zinazozungumzia vita, ila kuzielewa aya za quraan unahitaji elimu na sio kubeba tu kile ulichokiona, quraan imeshushwa kidogo kidogo, aya zake zilikuwa zikishushwa kwa sababu maalum, hivyo inabidi ujue sababu ya kushushwa, sio kusoma pigana, kissha unachukua uoanga ukapigane, je unapigana kwa mazingira gani, quraan imezungumzia mambo yoote ya kijamii, na washenzi hawa vinhine vyoote hawafati zaidi ya aya wanazojichagulia, mie huwa nasema hawa si waislam.

Mtume baaada ya kutimuliwa maka na kwenda madina, aliingia mkataba wa amani na wapinzani wake.. Lakini wale mabwana ndani ya mkataba wakawavamia waislam, ndio aya(maelezo) kadhaa yakashuka kwamba piganeni nao na vita ikiisha, ruksa wapinzani kuja nchini mwenu na inabidi muwalinde. Lakini hizi aaya nyingine hawazichukui wanachukua hii. Aya ya kupigana tena kinyume na mafundisho, mtume hakufunndiaha kua watoto, wakina mama ama adui aliiyesalimu amri, maadui zake kadhaa badaee walikuja kuwa Waislam

Nakuwekea aya kadhaa za quraan na tafsir toka kwa aliyekuwa kadhi mkuu wa Kenya [emoji1139]

Elimu nii pana saana, dini imesisitiza tusome, aya ya kwanza kushuka ni msisitizo wa kusoma, moja ya sababu ya kusisitizwa kusoma ni hii usijekuwa brainwashed vizuri. Sasa wewe umesom juu juu madhara yakes ndio hayo inachukuliwa aya moja juu juu watu wanakuwa tayari wamekukamata.

Katika hii attachment [emoji420], za juu nii aya chini ni Maelezo ya aya.. Why imeshuka n.k

Hii ni elimu ndogo niliyonayo mimi wenye elimu zaidi watakuja kuongezea

ALLAH ndio mjuzi zaidi

IMG_20210406_033403.jpg
IMG_20210406_033436.jpg
 
Kulizungumzia suala usilolijua ni changamoto.. Mimi ni muislam, katika mafundisho si ruhusa kutoa nafsi ya mtu tena haswa ambaye hana ukorofi na wewe, dini yetu ina sheria zake na mipaka yake mpaka kwenye vita, ukisoma vizuri utagundua hawa wapuuzi wana yao, hawana elimu yaa kutosha (wako brainwashed) na wale wenye elimu ya kutosha wana matamanio yao binafsi..

Nakubali zipo aya(tuite aya ni maelezo) zinazozungumzia vita, ila kuzielewa aya za quraan unahitaji elimu na sio kubeba tu kile ulichokiona, quraan imeshushwa kidogo kidogo, aya zake zilikuwa zikishushwa kwa sababu maalum, hivyo inabidi ujue sababu ya kushushwa, sio kusoma pigana, kissha unachukua uoanga ukapigane, je unapigana kwa mazingira gani, quraan imezungumzia mambo yoote ya kijamii, na washenzi hawa vinhine vyoote hawafati zaidi ya aya wanazojichagulia, mie huwa nasema hawa si waislam..
Mtume baaada ya kutimuliwa maka na kwenda madina, aliingia mkataba wa amani na wapinzani wake.. Lakini wale mabwana ndani ya mkataba wakawavamia waislam, ndio aya(maelezo) kadhaa yakashuka kwamba piganeni nao na vita ikiisha, ruksa wapinzani kuja nchini mwenu na inabidi muwalinde.. Lakini hizi aaya nyingine hawazichukui wanachukua hii. Aya ya kupigana tena kinyume na mafundisho, mtume hakufunndiaha kua watoto, wakina mama ama adui aliiyesalimu amri, maadui zake kadhaa badaee walikuja kuwa waislam

Nakuwekea aya kadhaa za quraan na tafsir toka kwa aliyekuwa kadhi mkuu wa Kenya [emoji1139]

Elimu nii pana saana, dini imesisitiza tusome, aya ya kwanza kushuka ni msisitizo wa kusoma, moja ya sababu ya kusisitizwa kusoma ni hii usijekuwa brainwashed vizuri.. Sasa wewe umesom juu juu madhara yakes ndio hayo inachukuliwa aya moja juu juu watu wanakuwa tayari wamekukamata..


Katika hii attachment [emoji420], Za juu nii aya chini ni Maelezo ya aya.. Why imeshuka n.k

Hii ni elimu ndogo niliyonayo mimi wenye elimu zaidi watakuja kuongezea
ALLAH ndio mjuzi zaidi

View attachment 1900788View attachment 1900789

Sasa hii nguvu na elimu mbona msitumie kuwaelewesha na kuwaelimisha hao wenzenu maana tungeelewa kama wangekua kundi la watu wachache, ila ni mamilioni ya watu walio kwenye mataifa tofauti, na watu wa umri tofauti, sio vijana tu.

Anzia Msumbiji, pitia pwani nenda mpaka Somalia, pandisha nenda mpaka Nigeria, vuka ingia Uarabuni, nenda mpaka Syria, katisha mpaka huko Afghanistan. Wote hao wanatumia kitabu hicho kimoja, watu wa matabaka tofauti hata wasiofahamiana, ila wanaamini katika mtume huyo mmoja, mungu wao huyo na kitabu hicho kimoja na kuamini vyote hivyo vinawashauri wajilipue mabomu wafe watalipwa huko akhera.

Lazima kuna kasoro sehemu kwenye mafundisho yenu, haiwezekani hawa wote wasiofahamiana wawe wanafanya kitu hicho kimoja utadhani wanawasiliana kwa namna fulani. Haya yataendelea mpaka siku wale mnaojiita wastaarabu au "walioelimika" mtakapokubali kuna kasoro na kujitoa mhanga wa kuhubiri dhidi ya hiyo kasoro, mtakatwa vichwa ila mtakua mumelipa gharama.
 
Sasa hii nguvu na elimu mbona msitumie kuwaelewesha na kuwaelimisha hao wenzenu maana tungeelewa kama wangekua kundi la watu wachache, ila ni mamilioni ya watu walio kwenye mataifa tofauti, na watu wa umri tofauti, sio vijana tu.
Anzia Msumbiji, pitia pwani nenda mpaka Somalia, pandisha nenda mpaka Nigeria, vuka ingia Uarabuni, nenda mpaka Syria, katisha mpaka huko Afghanistan....wote hao wanatumia kitabu hicho kimoja, watu wa matabaka tofauti hata wasiofahamiana, ila wanaamini katika mtume huyo mmoja, mungu wao huyo na kitabu hicho kimoja na kuamini vyote hivyo vinawashauri wajilipue mabomu wafe watalipwa huko akhera.

Lazima kuna kasoro sehemu kwenye mafundisho yenu, haiwezekani hawa wote wasiofahamiana wawe wanafanya kitu hicho kimoja utadhani wanawasiliana kwa namna fulani. Haya yataendelea mpaka siku wale mnaojiita wastaarabu au "walioelimika" mtakapokubali kuna kasoro na kujitoa mhanga wa kuhubiri dhidi ya hiyo kasoro, mtakatwa vichwa ila mtakua mumelipa gharama.

Hii ni elimu mzee, inatolewa class, mtu akae chini afundishwe, hivi unaanzaje kumpa elimu mtu hana mpango,
We hapo ulipo nije tua nikufundishe physics inawezekana mkuu bila ya kukaa darasani?

Katika watu bilioni kadhaa unategemea mjinga awe mmoja, na huyo mjinga mmoja anatosha kuzalisha wengine.. Kila taifa lina watu wenye tamaa zao na ambao rahisi kudanganyika, usishangae kesho ikawa tz ama kenya

Shida naona unataka kubishana kuliko kuelekezana, mambo haya usijadili kwa mihemko kuwa neutral ndio utaelewa, wewe kusema kote huko wanapigana wanatumia kitabu kimooja si sababu, mie natumia kitabu hicho hicho na nimekuwekea maelezo yake hapo, shida sio wengi wanafanya, jiulize je wanachofanya ni sahihi kwa mujibu wa mafunzo, soma utaelewa.

Wangapi siku hizi waanafanya mapenzi kinyume na maumbile je ni sahihi kisa wengi wanafanya, kuanzia america, Ulaya, africa, asia, middle east mpka america yya Kusini, je ni sahihi kwa mafunzo(kitaalum, kitabibu) jibu ni hapana kuna madhara mengi je hii wao kuwa wengi ndio usahihi?

Unaposema lazima kuna kasoro sehemu, tayar ushachagua upande why uforce huu ulazima..

Ukihitaji elimu nitakujuza kadri nilivyojaaliwa, ila mabishano siwezi

Ahsante.
 
Sio mafundisho ya kidini bali matamanio ya kisiasa kwa mwavuli wa dini. Hakuna dini sahihi inayoruhusu uharamia wa aina hiyo.
Dini zote zinahubiri Amani, magaidi wanatumia mlango wa uislamu kwa kunukuu baadhi ya Aya katika Quran vibaya bila kujua inatumika katika mazingira gani.
Nimejitahidi kumpa mwangaza, ila naona kaishachagua upande, ngumu kuelewa.
 
Back
Top Bottom