Baada ya Taliban kuichukua Afghanistan, Al-Shabaab nao waongeza juhudi za kujilipua mabomu

Baada ya Taliban kuichukua Afghanistan, Al-Shabaab nao waongeza juhudi za kujilipua mabomu

The so called "misinterpretation" of the Qur'an leads to terrorist groups. While the so called "misinterpretation" of the bible leads into multitude of relatively benign denominations. This implies there is something wrong with Qur'an. All those verses about killing the unbelievers, killing apostates, killing adulterers, chopping off thiefs' hands, make the unbelievers pay Jizya, etc.. All these are not centered around love, but hate and a belief that non-muslims are some sort of second class humans.

Just compare how muslims reacts when Islam is mocked, and how christians reacts when the same is done to Christianity. Muslim are generally more intolerant than Christians, and that is because of the nature of their teachings. That nature of their teachings is what lead to terrorism when the teachings are taken to the extreme. But when christian teachings are taken to the extreme, it is more likely the extremist will just end up being delusional and it is less likely that they will hurt anyone.

Just to be fair, I am not a christian, I am an atheist--- I don't believe in God(s)
 
sasa inakuwaje hata huwa hamuwakemei hutahisikia hata siku moja msikitini wamekemea kwa kumaindi tukio fulani la gaidi hapo ndipo tunapoona mna lenu jambo na mpo kitu kimoja
Wewe unaingia msikitini!? Utasikiaje habari hizi hilo moja..

Pili mimi ni shuhuda misikiti kadhaa masheikh wanzungumzia uharamu wa hii vita iliyopachikwa jina jihadi..

Kwa mujibu wa mafundisho kwangu mimi wanaopigana jihadi ya kweli kabisa ni wale wapalestina ambao wameporwa maeneo yao, ni haki yao kupambana sababu wanafanyiwa udhalimu,

Kama ISIS, ALQAEDA, ALSHABAB na vikundi vingine wanataka haki waangenda Rwanda kupigana kipindi kile kagame kataangaza kufungaa nyumba ya ibada,

Hao wajomba tu, wana maslahi yao binafsi, hawana lolote lile, kama hapa Tanzania [emoji1241] unapgana jihad kwa sababu ipi nasi tuna uhuru wa kuabudu?


Suratul al hajjj aya ya 39-41

Wameruhusiwa (kupigana) wale wanaopigwa, kwa sababu wamedhulumiwa. Na kwa yakini Allaah ni Muweza wa kuwasaidia.

Ambao wametolewa majumbani (mijini) mwao pasipo haki ila kwa sababu wanasema “Mola wetu ni Allaah.”

Na kama Allaah Asingaliwakinga watu, baadhi yao kwa wengine, bila shaka yangalivunjwa mahekalu na makanisa na nyumba nyengine za ibada na Misikiti ambamo jina la Allaah hutajwa kwa wingi. Na bila shaka Allaah Humsaidia yule anayesaidia dini yake. Hakika Allaah ni Mwenye nguvu na Mwenye kushinda.

Wale ambao tukiwamakinisha (tukiwaweka uzuri) katika ardhi husimamisha Swalah na wakatoa Zakaah na wakaamrisha yaliyo mema na wakakataza yaliyo mabaya. Na marejeo ya mambo ni kwa Allaah.”


Katika aya hizi zimetajwa sababu kadhaa, baadhi ni



Ya kwanza - Kwa sababu ya kudhulumiwa kwa kushambuliwa na kutolewa majumbani mwao pasipo haki kwa sababu wanasema “Mola wetu ni Allaah”.



Ya pili – (UHURU WA KUABUDU) Lau kama Allaah Asingaliwakinga kwa kuwaamrisha kupigana Jihaad, bila shaka yangalivunjwa mahekalu na makanisa na nyumba nyengine za ibada na Misikiti ambamo ndani yake jina la Allaah hutajwa kwa wingi.
 
Mimi sibishani ila nashangaa kwa kuweka facts, ni kweli dhambi hufanywa duniani kote, wako wanaofanya zinaa na mambo mengine mengi tu, na hakuna mtimilifu dunia hii hata mimi hapa mara moja moja huwa najikuta nikitenda dhambi. Lakini kwa hawa, wanaua na kujilipua mabomu wote wakisema wanaelekezwa na hicho hicho kitabu kimoja, mungu wao huyo mmoja, mtume wao huyo mmoja, halafu kama nilivyotaja hapo awali, sio watu wa tabaka moja au nchi moja, wamezagaa kote kote mataifa tofauti, watu wa rangi tofauti, lugha tofauti wote hao wanakutanishwa na hicho hicho kitabu.

Siku mtaacha kusimama mpembeni mkitetea, muamue kuanza kuwaambia "ukweli wenu" ndio yataisha haya, leo hii masheikh waende pale Somalia waanze kuhubiri dhidi ya alshabaab na matendo yao, ugaidi na magaidi tena kwa kipaza sauti, ni kweli watachinjwa ila hiyo itakua kama hatua ya mwanzo ya dunia kuwaelewa. Lakini huwa tunashuhudia kinyume na hilo, kuna masheikh hukamatwa wakisambaza elimu ya chuki za kidini.

Kuna mdada muislamu mmoja tu alijitoa mhanga na kufanya wengi tupate imani na hiyo dini, ilikua kwenye bus kule Wajir, magaidi walivamia hilo bus na kuanza kuwatenganisha watu kwa misingi ya kidini, yule dada fasta akachomoa mtandio aliokua nao kwenye mkoba na kumkabidhi mwanamke mkristo ajighubike, na hapo akamponya dhidi ya uchinjaji uliofanywa hiyo siku. Sasa tukio kama hilo moja linaaminsha mpo mmoja mmoja ambao mko tayari kujitoa mhanga na kukabiliana na hili janga, ila wengine wote mnatumia nguvu nyingi tu za kuandika andika kwenye mitandao.

Nikuulize swali jepesi, una amini juu ya andiko la manabii wa uongo, wako wangapi, si wametapakaa kila mahali, hatua gani zilizochukuliwa..

We unaamini hawa wapuuzi wataacha ujinga wao kisa tu tukiwaeleza haya.. Huwezi kuwa serious [emoji23], hivi unaijua sumu ya brainwashed wewe, mtu anapigwa risasi, anajitoa muhanga.. Kifupi muongeze juhudi ya kuyafyeka magaidi yote, huku masheikh wanahangaika kuwafundisha watu njia sahihi, na bado hawataisha, miongoni mwa hao wasomi, wapo wenye tamaa pia..
Sasa wewe unataka mtu atoke hapa aende somalia kuwaambia mnachofanya sicho, masheikh wengi misikitini mwetu wanawaasa vijana juu ya hiyo hatari, hiyo vita ni kubwa saana kuliko wewe unavyoichukulia, nyuma yake kuna watu ndio wanapeleka hili suala..

Mtu si mbwa, kapewa utashi mkubwa ukifungua akili yako ukajiuliza maswali kadhaa ukiwa neutral, utapata jawabu mzee..

Sio huyo mdada tu, muislam yoyote anaejitambua yeye na hayo matendo ni tofauti.

Karibu tena
 
Dini zote zinahubiri Amani, magaidi wanatumia mlango wa uislamu kwa kunukuu baadhi ya Aya katika Quran vibaya bila kujua inatumika katika mazingira gani.

Kuna tatizo kubwa sana linahitaji kushughulikiwa kwa dhati. Kiwango (scale) ya ugaidi unaofanywa kwa kutumia jina la “uislamu” ni kikubwa sana na kinatisha kwa aina ya maangamizi na ukatili unaofanywa.

Lazima wenye dhamana na uislamu washtuke inakuwaje dini yao inabeba zigo hilo kulinganisha na dini zingine? Kivipi wapotoshaji wanakuwa na nguvu kuliko weledi, wakweli na wenye kuzingatia haki za uislamu?

Kuna uvumi wa muda mrefu kuwa tawala kubwa za kiislamu duniani hususan Saudi Arabia na Iran ndizo zinazoasisi, kulea na kugharamia mitandao ya taasisi zinazoeneza mafunzo yenye imani kali ya kiislamu yenye lengo la kuangamiza makafiri wote, kuondoa tawala za “kisekula” na kusimika utawala wa sharia dunia nzima.

Inasemekana taasisi kubwa za kijasusi duniani kama CIA, FSB, MI6, DGSE, n.k. wanafahamu hili na kuna wakati wanatumia vikundi vya taasisi hizo za kiislamu kupambana na mahasimu wao. Kama vile CIA walivyowatumia Mujahideen (sasa Taliban) na Al Qaeda kupitia Saudi Arabia kuing’oa Urusi toka Afghanistan miaka ya 1980.

Inashangaza kwamba wakuu wa Saudi Arabia wanaovuma kwa maisha ya anasa kwenye maCasino na madanguro exclusive kwenye maeneo exotic duniani ndio wafadhili wakuu wa vikundi vya kigaidi vinavyoeneza imani kali kwa ukatili wa hali ya juu. Wanashirikiana na wauza silaha wakuu walioko nchi za magharibi (makafiri).

Nionavyo, Waislamu wa kweli wameshindwa kuwadhibiti mabaradhuli hawa kutokana na ukubwa wa pesa (trillions of USD), mamlaka (authority) na nguvu (power) zinazohusika.

Kama Waislamu hawataweza kuwadhibiti hususan “mashehe wa Saudia” kuacha unafiki, wasishangae kuona/kusikia usemi wa “dini ya amani” ukiendelea kupuuzwa na kubezwa. Inasikitisha.
 
"My name is Khan, I am not a terrorist" .......................... filamu ya kihindi ya Shahrukh Khan aliyojaribu kuelezea mafundisho ya uislam na ugaidi
 
Kweli?,askari kavaa sendo kakunja suruali na ana miguu mwembamba kama sindano ya chanjo ya covid?,ndio atapambana na al shabab huyu
 
Hao taliban na al shabab ni kama vyama vya siasa vina mifumo yao wanatumia ambush kuingia madarakani na wana miziiz mirefu pamoja na ufadhili mkubwa wa mataifa yanawaunga mkono watu wana silaha kibao waache wapambanane haihusiani na dini ya uislamu kama wanataka kutumia sheria za uislamu muwaache tu watumie

Hapa bongo lipo lichama moja likidhani litaingia madatakani kwa demokrasi mfumo ambayo ni batili kingine limeendekeza ukabila na kujifanya lichama ya demokrasia kumbe kutetea yale makabila ya moshi na arusha na halitokuja ingia madarakani ng'o

Japo linapata sapot za mabeberu
We uko chama cha manyumbu siyo
 
Msimu wa mabikira 72 akhera umeanza tena. Acha jamaa wakafaidi bikira zao huko.
 
Katika mapungufu haya ndio maana wakristu wanachukua points sana

Alafu hai-make sense eti mbongo, sijui mchaga au mgogo unaijua dini/Quran kuliko wenyewe ilipoanzia (Taliban ...). Sio kweli

Kwa mantiki hiyo wao wapo sahihi kuliko mnaopinga hawapo sahihi katika misingi ya kiislamu
Acha ujinga ww Uislamu umeanzia Taliban?

Taliban walifikishiwa dini kama watu wengine ilivyo wafikia.
Kingine Dini sio ya watu Dini ni ya mola wetu Mlezi muumba wa mbingu na Ardhi, dini sio ya Waarabu wala nani dini ni ya kwake mwenyezi mungu.
 
Acha ujinga ww Uislamu umeanzia Taliban?

Taliban walifikishiwa dini kama watu wengine ilivyo wafikia.
Kingine Dini sio ya watu Dini ni ya mola wetu Mlezi muumba wa mbingu na Ardhi, dini sio ya Waarabu wala nani dini ni ya kwake mwenyezi mungu.
Kuna komment nyingine niliituma baada ya hii, na ile naomba unijibu

Ni ngumu sana kutenganisha uislam na ugaidi,
By the way mimi ni muislam,
 
Jamaa wamepata mzuka na kulianzisha upya...........wanajilipua kwenye masoko na ndani ya kandamnasi, haya mafundisho ya kidini yataitesa dunia....

Somali military officers

Somali military officers on a street in the capital Mogadishu on April 25, 2021. PHOTO | AFP
At least two people were killed and five wounded Thursday after a suicide bomber detonated a device inside a cafe in the Somali capital Mogadishu, police and witnesses said.

The suicide bomber targeted a tea shop near a crowded junction in northern Mogadishu which was reportedly frequented by members of the Somali security forces as well as civilians.

The Al-Qaeda-linked group Al-Shabaab claimed the attack through their Shahada News Agency, according to the US monitoring group SITE.

The early-evening attack, which sent debris flying outside, killed two members of the security forces and injured five people, said Mohamed Ali, a traffic policeman who was at the scene.

"Pieces of metal and destroyed plastic seats were strewn around the whole area," said Abdukadir Sagaalle, an eyewitness.

Al-Shabaab, which is fighting to overthrow Somalia's internationally-backed government, regularly attacks government and civilian targets in Mogadishu.



April br!!.. are you Mad?
 
Back
Top Bottom