Baada ya Taliban kuichukua Afghanistan, Al-Shabaab nao waongeza juhudi za kujilipua mabomu

Mkuu umenena vyema kabisaa hawa magaidi wanachafua dini yenu.
 

Mimi sibishani ila nashangaa kwa kuweka facts, ni kweli dhambi hufanywa duniani kote, wako wanaofanya zinaa na mambo mengine mengi tu, na hakuna mtimilifu dunia hii hata mimi hapa mara moja moja huwa najikuta nikitenda dhambi. Lakini kwa hawa, wanaua na kujilipua mabomu wote wakisema wanaelekezwa na hicho hicho kitabu kimoja, mungu wao huyo mmoja, mtume wao huyo mmoja, halafu kama nilivyotaja hapo awali, sio watu wa tabaka moja au nchi moja, wamezagaa kote kote mataifa tofauti, watu wa rangi tofauti, lugha tofauti wote hao wanakutanishwa na hicho hicho kitabu.

Siku mtaacha kusimama mpembeni mkitetea, muamue kuanza kuwaambia "ukweli wenu" ndio yataisha haya, leo hii masheikh waende pale Somalia waanze kuhubiri dhidi ya alshabaab na matendo yao, ugaidi na magaidi tena kwa kipaza sauti, ni kweli watachinjwa ila hiyo itakua kama hatua ya mwanzo ya dunia kuwaelewa. Lakini huwa tunashuhudia kinyume na hilo, kuna masheikh hukamatwa wakisambaza elimu ya chuki za kidini.

Kuna mdada muislamu mmoja tu alijitoa mhanga na kufanya wengi tupate imani na hiyo dini, ilikua kwenye bus kule Wajir, magaidi walivamia hilo bus na kuanza kuwatenganisha watu kwa misingi ya kidini, yule dada fasta akachomoa mtandio aliokua nao kwenye mkoba na kumkabidhi mwanamke mkristo ajighubike, na hapo akamponya dhidi ya uchinjaji uliofanywa hiyo siku. Sasa tukio kama hilo moja linaaminsha mpo mmoja mmoja ambao mko tayari kujitoa mhanga na kukabiliana na hili janga, ila wengine wote mnatumia nguvu nyingi tu za kuandika andika kwenye mitandao.
 
Hao taliban na al shabab ni kama vyama vya siasa vina mifumo yao wanatumia ambush kuingia madarakani na wana miziiz mirefu pamoja na ufadhili mkubwa wa mataifa yanawaunga mkono watu wana silaha kibao waache wapambanane haihusiani na dini ya uislamu kama wanataka kutumia sheria za uislamu muwaache tu watumie

Hapa bongo lipo lichama moja likidhani litaingia madatakani kwa demokrasi mfumo ambayo ni batili kingine limeendekeza ukabila na kujifanya lichama ya demokrasia kumbe kutetea yale makabila ya moshi na arusha na halitokuja ingia madarakani ng'o

Japo linapata sapot za mabeberu
 
Unaongea mengi halaf huongei yamsingi yaani hata humu kuna waislam ndio hao wanaokwambia kuhusu alshabab kama hawapo sahihi halaf unaongea nini
Mnataka watu wahubiri nini kama hapa kwenye social media mnaamini mlioaminishwa nahao wauaji
Kwani hawa wanaokwambia kama mafundisho ya UISLAM hayapo hivyo sio waislam wanaupinga ugaidi
Uislam umekataza kuua wakina mama watoto nawatu wasiokua nahatia inamaana kama alshabab wameua yeyote kati ya niliowataja hapo tayari washaenda kinyume na maamrisho ya huo UISLAM mkiambiwa mnakaza shingi
Hata wauwe DUNIA nzima kwakigezo cha UISLAM hawawez kua WAISLAM nawala hawawez kua wanafuata misingi sahihi ya UISLAM
Hao ulowataja marangapi wameua WAISLAM wenzao pia tena wakiwa miskitini wanapataje uhalali wakua WAISLAM ikiwa mpaka wenzao wanawaua tena kwamtindo ule ule wanaowaua wasiokua WAISLAM
Nb:-UISLAM ndio mfumo sahihi wamaisha ya mwanaadam hata kama DUNIA nzima itaungana kuupiga vita nakuundia PROPAGANDA teleeeeee ila huu utabakia kua ndio ukweli mpaka mwisho wa DUNIA

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Uislamu unafundisha kuua,kujilipua na ndio maana hata masheikh hutawahi wasikia wakikemea hata siku moja kwa maana wanajua kukemea ni kwenda kinyume na mungu wao aliyeasisi hayo.
 
Uislamu unafundisha kuua,kujilipua na ndio maana hata masheikh hutawahi wasikia wakikemea hata siku moja kwa maana wanajua kukemea ni kwenda kinyume na mungu wao aliyeasisi hayo.
Mumekua Brainwashed mpaka mmekua hamujitambui
Kuna MUISLAM unaemjua wewe aliewahi kuua ama kujiripua
Nb:- UISALAM ndio mfumo sahihi wamaisha yamwanaadam hatakama mtauchafua kwakiasi gani yaani

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Haya masuala ya dini kama hujui ni vyema ukauliza au kukaa kimya.
Kuna viongozi Wa Dini ni Mashoga ila kama hujui unaweza ukasema na kubishana kua Dini fulani ni yamashoga
 
Katika mapungufu haya ndio maana wakristu wanachukua points sana

Alafu hai-make sense eti mbongo, sijui mchaga au mgogo unaijua dini/Quran kuliko wenyewe ilipoanzia (Taliban ...). Sio kweli

Kwa mantiki hiyo wao wapo sahihi kuliko mnaopinga hawapo sahihi katika misingi ya kiislamu
 
Alokwambia dini imeanzia kwa taleban nani[emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna point mnachukua zaidi yakua brainwashed

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 

Hizi nguvu za kuandika andika ma-insha kwenye mitandao ndio tunasema mjitoe mhanga na kuwaambia moja kwa moja kama kweli hamkubaliani na hayo mauaji wanayofanya kwa kujilipua mabomu, tena wote wakitumia hicho hicho kitabu kama kinga. Na hawapo sehemu moja, wako mataifa mengi, mataba mbali mbali na wote wanaunganishwa na hicho kitabu.
 
Alokwambia dini imeanzia kwa taleban nani[emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna point mnachukua zaidi yakua brainwashed

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Dini imeanzia kwa watu jamii hiyo

Wewe endelea kukaza ubongo, ila logically wao wanauelewa mpana zaidi wa dini ya kiislamu kuliko nyie mlioletewa

Kwa mantiki hiyo wao wapo sahihi kuliko wapuuzi manosema hawapo sahihi. Kulingana na vifungi vya dini ya kiislamu
 
hivi mnaposema ilishushwa huwa mnakuwa na maana gani huwa siwasomi kbs hapo....yaani kulikuwa na kamba kutoka angani inashusha mzigo slow motion?!!!
 
kbs haiwezekani iwe hivyo hii dini ni ya hovyo sn
 
sasa inakuwaje hata huwa hamuwakemei hutahisikia hata siku moja msikitini wamekemea kwa kumaindi tukio fulani la gaidi hapo ndipo tunapoona mna lenu jambo na mpo kitu kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…