Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
Kwani ww Misikitini unafika?!sasa inakuwaje hata huwa hamuwakemei hutahisikia hata siku moja msikitini wamekemea kwa kumaindi tukio fulani la gaidi hapo ndipo tunapoona mna lenu jambo na mpo kitu kimoja
Ni lugha tu, nikisema ufunuo unaelewa.?hivi mnaposema ilishushwa huwa mnakuwa na maana gani huwa siwasomi kbs hapo....yaani kulikuwa na kamba kutoka angani inashusha mzigo slow motion?!!!
Kabla kusema...chunguza maneno yako Chiefkbs haiwezekani iwe hivyo hii dini ni ya hovyo sn
Wewe unaingia msikitini!? Utasikiaje habari hizi hilo moja..sasa inakuwaje hata huwa hamuwakemei hutahisikia hata siku moja msikitini wamekemea kwa kumaindi tukio fulani la gaidi hapo ndipo tunapoona mna lenu jambo na mpo kitu kimoja
Mimi sibishani ila nashangaa kwa kuweka facts, ni kweli dhambi hufanywa duniani kote, wako wanaofanya zinaa na mambo mengine mengi tu, na hakuna mtimilifu dunia hii hata mimi hapa mara moja moja huwa najikuta nikitenda dhambi. Lakini kwa hawa, wanaua na kujilipua mabomu wote wakisema wanaelekezwa na hicho hicho kitabu kimoja, mungu wao huyo mmoja, mtume wao huyo mmoja, halafu kama nilivyotaja hapo awali, sio watu wa tabaka moja au nchi moja, wamezagaa kote kote mataifa tofauti, watu wa rangi tofauti, lugha tofauti wote hao wanakutanishwa na hicho hicho kitabu.
Siku mtaacha kusimama mpembeni mkitetea, muamue kuanza kuwaambia "ukweli wenu" ndio yataisha haya, leo hii masheikh waende pale Somalia waanze kuhubiri dhidi ya alshabaab na matendo yao, ugaidi na magaidi tena kwa kipaza sauti, ni kweli watachinjwa ila hiyo itakua kama hatua ya mwanzo ya dunia kuwaelewa. Lakini huwa tunashuhudia kinyume na hilo, kuna masheikh hukamatwa wakisambaza elimu ya chuki za kidini.
Kuna mdada muislamu mmoja tu alijitoa mhanga na kufanya wengi tupate imani na hiyo dini, ilikua kwenye bus kule Wajir, magaidi walivamia hilo bus na kuanza kuwatenganisha watu kwa misingi ya kidini, yule dada fasta akachomoa mtandio aliokua nao kwenye mkoba na kumkabidhi mwanamke mkristo ajighubike, na hapo akamponya dhidi ya uchinjaji uliofanywa hiyo siku. Sasa tukio kama hilo moja linaaminsha mpo mmoja mmoja ambao mko tayari kujitoa mhanga na kukabiliana na hili janga, ila wengine wote mnatumia nguvu nyingi tu za kuandika andika kwenye mitandao.
Dini zote zinahubiri Amani, magaidi wanatumia mlango wa uislamu kwa kunukuu baadhi ya Aya katika Quran vibaya bila kujua inatumika katika mazingira gani.
Wamarekani hawaaminiki, inawezekana wanatengeneza bomu lingineKuondoka kwa majeshi ya marekani si bure Kuna alichopanga.
Maana wakina nduga... Kichwani utafikili kopo LA kutawaziaAl Qaeda waje Dodoma tuwape hifadhi
Muda utasema tu!Wamarekani hawaaminiki, inawezekana wanatengeneza bomu lingine
Ndo tupate magaidi original niniAl Qaeda waje Dodoma tuwape hifadhi
Tatizo wanajazwa sumu bado wadogoUkiwa na akili timamu.....
Hakuna Dini yenye kufundisha upuuzi na upumbavu
We uko chama cha manyumbu siyoHao taliban na al shabab ni kama vyama vya siasa vina mifumo yao wanatumia ambush kuingia madarakani na wana miziiz mirefu pamoja na ufadhili mkubwa wa mataifa yanawaunga mkono watu wana silaha kibao waache wapambanane haihusiani na dini ya uislamu kama wanataka kutumia sheria za uislamu muwaache tu watumie
Hapa bongo lipo lichama moja likidhani litaingia madatakani kwa demokrasi mfumo ambayo ni batili kingine limeendekeza ukabila na kujifanya lichama ya demokrasia kumbe kutetea yale makabila ya moshi na arusha na halitokuja ingia madarakani ng'o
Japo linapata sapot za mabeberu
Acha ujinga ww Uislamu umeanzia Taliban?Katika mapungufu haya ndio maana wakristu wanachukua points sana
Alafu hai-make sense eti mbongo, sijui mchaga au mgogo unaijua dini/Quran kuliko wenyewe ilipoanzia (Taliban ...). Sio kweli
Kwa mantiki hiyo wao wapo sahihi kuliko mnaopinga hawapo sahihi katika misingi ya kiislamu
Kuna komment nyingine niliituma baada ya hii, na ile naomba unijibuAcha ujinga ww Uislamu umeanzia Taliban?
Taliban walifikishiwa dini kama watu wengine ilivyo wafikia.
Kingine Dini sio ya watu Dini ni ya mola wetu Mlezi muumba wa mbingu na Ardhi, dini sio ya Waarabu wala nani dini ni ya kwake mwenyezi mungu.
Jamaa wamepata mzuka na kulianzisha upya...........wanajilipua kwenye masoko na ndani ya kandamnasi, haya mafundisho ya kidini yataitesa dunia....
Somali military officers on a street in the capital Mogadishu on April 25, 2021. PHOTO | AFP
At least two people were killed and five wounded Thursday after a suicide bomber detonated a device inside a cafe in the Somali capital Mogadishu, police and witnesses said.
The suicide bomber targeted a tea shop near a crowded junction in northern Mogadishu which was reportedly frequented by members of the Somali security forces as well as civilians.
The Al-Qaeda-linked group Al-Shabaab claimed the attack through their Shahada News Agency, according to the US monitoring group SITE.
The early-evening attack, which sent debris flying outside, killed two members of the security forces and injured five people, said Mohamed Ali, a traffic policeman who was at the scene.
"Pieces of metal and destroyed plastic seats were strewn around the whole area," said Abdukadir Sagaalle, an eyewitness.
Al-Shabaab, which is fighting to overthrow Somalia's internationally-backed government, regularly attacks government and civilian targets in Mogadishu.
Two killed, five injured in Mogadishu suicide bombing
The suicide bomber targeted a tea shop near a crowded junction in northern Mogadishu.www.theeastafrican.co.ke