Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 745
nina taarifa za karibu,jumla ya kura za ubunge na uraisi kwa bukoba mjini zina tofauti ya elfu ishirini.
sasa sijui hizo elfu ishirini kwenye ubunge zimeharibika au Vipi?
na sehemu nyingi pia jamaa data wanazo
Tofauti iliyopo ni elfu ishirini na ushee,na katika hilo za ubunge hapo ndio nyingi kwa idadi ya elfu sitini na nane wakati urais ni ni elfu arobaini na tano,sasa hapa walopiga kura za ubunge walitokomea wapi na kumnyima rais wao hizo 23,000?
halafu tafuta za Monduli ndo utacheka ufe.