nina taarifa za karibu,jumla ya kura za ubunge na uraisi kwa bukoba mjini zina tofauti ya elfu ishirini.
sasa sijui hizo elfu ishirini kwenye ubunge zimeharibika au Vipi?
na sehemu nyingi pia jamaa data wanazo
"Ukikuta mahali mawazo ya vijana na wazee yanafanana, ujue hapo pamedumaa" - J. S. Warioba
tofauti iliyopo ni elfu ishirini na ushee,na katika hilo za ubunge hapo ndio nyingi kwa idadi ya elfu sitini na nane wakati urais ni ni elfu arobaini na tano,sasa hapa walopiga kura za ubunge walitokomea wapi na kumnyima rais wao hizo 23,000?
Halafu tafuta za monduli ndo utacheka ufe.
Ndugu Kasheshe, Dr. wa kweli hataki kutupeleka vitani ndiyo maana mara kwa mara amesisitiza wananchi kutunza amani iliyopo. Anachotaka Dr. wa kweli ni matokeo halisi ya kura za urais na siyo yaliyochakachuliwa na mafisadi. Atakayefanya nchi hii iwe kama ilivyokuwa Angola enzi za Savimbi ni hao mafisadi wa CCM(including J.K) ambao wanalazimisha kuitawala nchi wakati wananchi wengi wamewakataa. Wanachohitaji si uongozi ila ajira zao na familia zao.
Hujaacha bado kutumia makalio kufikiri?