Baada ya Tanzania kuruhusu michezo na watu kujaa viwanjani, Kenya nayo yaamua kuiga kwa kuruhusu michezo

Baada ya Tanzania kuruhusu michezo na watu kujaa viwanjani, Kenya nayo yaamua kuiga kwa kuruhusu michezo

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Shughuli za michezo ‘kufufuliwa’ tena Kenya

muungwana.co.tz 4h

Kusalimiana kwa mikono, kukumbatiana na kusherehekea timu ni marufuku. kwa mujibu wa muongozo unaopendekezwaImage caption: Kusalimiana kwa mikono, kukumbatiana na kusherehekea timu ni marufuku. kwa mujibu wa muongozo unaopendekezwa

Shughuli za michezo zinatarajiwa kufunguliwa tena nchini Kenya katikati ya mwezi wa Septemba.

Hii ni baada ya serikali kutoa muongozo wa awali wa namna matukio ya michezo yatakavyokuwa yakifanyika kufuatia kufungwa mwezi Machi kutokana na COVID-19.

Baadhi ya wanariadhawalikua tayari wameanzakushiriki mashindano ya kimataifana sasa Wizara ya michezo nchibni inatarajiwa kufungua tena mashindano ndani ya nchi.

Kulingana na Mapendekezo ya awali juu ya udhibiti wa viwanja, mazoezi na mpangilio wa mashindano Vitatathminiwa na mashirikisho.

Mpanglio huo ni pamoja na uchunguzi na vipimo vya afya vitakavyochukuliwa kwenye maeneo yote ya kuingilia kwenye matukio ya michezo, uvaaji wa barakoa kwa wanamichezo wakati wote na udhibiti wa vyumba vya kubadilisha jezi katika maeneo ya matukio ya michezo. Kusalimiana kwa mikono, kukumbatiana na kusherehekea timu pia ni marufuku.

===

MY TAKE: Taratibu Jirani akili zinaanza kuwarudia. Tanzania hoyeeeeeeee

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Tanzania kuruhusu *MCHEZO Mods, msahihishie mleta mada hapo kwenye kichwa. Maanake akisema michezo inamaanisha zaidi ya moja, k.m. Kenya itakuwa, raga, riadha, soka, mpira wa wavu, mpira wa vikapu, mpira wa magongo, Kriketi hadi na Kabbadi n.k, n.k. Sio kama Tz ambapo ni soka tu, ya sijui Simba na Yanga wakipiga mpira buti za juu kwa juu tu kwa dakika tisini.
 
Baada ya Tanzania kuruhusu *MCHEZO... Mods, msahihishie mleta mada hapo kwenye kichwa. Maanake akisema michezo inamaanisha zaidi ya moja, k.m. Kenya itakuwa, raga, riadha, soka, mpira wa wavu, mpira wa vikapu, mpira wa magongo, Kriketi hadi na Kabbadi n.k, n.k. Sio kama Tz ambapo ni soka tu, ya sijui Simba na Yanga wakipiga mpira buti za juu kwa juu tu kwa dakika tisini.
Juzi juzi kulikuwa na pambano la ndondi pale mlimani city hasani mwakinyo akimchapa mkongo shibangu kayembe watu walijazana kupita maelezo na ckumbuki km kuna mtu aliwaza kuhusu corona, oohhh sorry kumbe boxing is not among sports [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Waache wamgeze tembo kunya mavi makubwa wenzao NIMRI ipo
Unamaanisha NIMRI hii hii ambayo ilipima sampuli za COVID-19 kwa kutumia mashine mbovu kisha ikaitangazia dunia kwamba papai anayeitwa Elizabeti ana Corona? [emoji1][emoji1][emoji1] Hii hii NIMRI ambayo ilikuwa na utepetevu mwingi kwenye usimamizi? Tena mbayo haikuwa na wataalamu na ambayo ilichemsha hadi kwenye kuhifadhi tu sampuli na uhakiki wa ubora wa upimaji na matokeo? Mashine ya kupima corona 'yakutwa na hitilafu Tanzania' - BBC News Swahili
 
Juzi juzi kulikuwa na pambano la ndondi pale mlimani city hasani mwakinyo akimchapa mkongo shibangu kayembe hakuna mtu aliwaza kuhusu corona, oohhh sorry kumbe boxing is not among sports [emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa hapo ndio umemalizia orodha yako, kwenye dondi tu na Mwakinyo? Nimeandika n.k. kwasababu singeweza kutaja michezo yote kwa mpigo. Hebu pitia pitia hii orodha hapa uone baadhi ya titles na belts, za barani Afrika na kimataifa pia. Ambazo zinashikiliwa na wakenya, wanaume kwa wanawake, kwenye dondi. Kutoka WBA, WBO, WBC hadi WPBF kwenye vitengo vya Featherweight, flyweight, superflyweight, bantamweight hadi heavyweight. Boxers, Promoters and Values – Kenya Professional Boxing Commission Kenya inawaza kuhusu mipango ya kurejesha michezo, ikizingatia protokali za kuzuia maambukizi ya COVID-19. Wanamichezo wetu wapo kule Stockholm, Sweden sasa hivi waking'aa kama kawa. Alafu eti tuwaige nyinyi na hizo ligi zenu kienyeji hapo Kolomije. 😀
 
Wacha kutoka nje ya mada, Kenya endeleeni kuiga Tanzania kwasababu hamna akili, mlizuia michezo Mara siku ambayo Kenya ilikuwa na mgonjwa mmoja tu bila kifo hata kimoja, sasa hivi wagonjwa zaidi ya 32K na vifo zaidi ya 530, mnataka kuruhusu michezo ili kuiga Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unamaanisha NIMRI hii hii ambayo ilipima sampuli za COVID-19 kwa kutumia mashine mbovu kisha ikaitangazia dunia kwamba papai anayeitwa Elizabeti ana Corona? [emoji1][emoji1][emoji1] Hii hii NIMRI ambayo ilikuwa na utepetevu mwingi kwenye usimamizi? Tena mbayo haikuwa na wataalamu na ambayo ilichemsha hadi kwenye kuhifadhi tu sampuli na uhakiki wa ubora wa upimaji na matokeo?

Mashine ya kupima corona 'yakutwa na hitilafu Tanzania' - BBC News Swahili
Kumbe kawaida yako unachangia mada tu bila kujua nini kinazungumziwa? Inaonesha jinsi gani huna akili muda mwengine uwe unauliza kisha ndio uandike. Na tukija kwenye swala za vipimo hata china walipinga nyama ikakutwa na Corona, tatizo cjui kitu gani unachoshangaa ww kupimwa sample ya mbuzi na papai au labda tatizo haukusoma. Kwani vipimo havitakiwi kufanyiwa uchunguzi au ulizani vimeshuka kutoka mbinguni ee? Vile vimebuniwa tu na watu.
 
Tuwekee hiyo tweet yake tuone, siku za mwanzo aliwahi kumkebehi Magufuli aliposema Tanzania hatuna Corona, imekuaje tena amebadilika?
Ni kweli sonko aliwahi kurusha vijembe kwa JPM, Naona amegain popularity zaidi na Sonko rescue Team kipindi hichi cha Convid19 lakini Kenyata na advisors wake wamechokwa na wakenya sasa baada ya WHO kutoa statement shule zifunguliwe kuwaondoa Watoto katika risk majumbani jana waziri wao wa elimu amehara balaa hata mara aseme sijui kenyata na team yake ndio inapenda watoto wa kenya zaidi ya who na Unicef wanasahau hata hizo lockdown na curfew wanazo impose ni ili kujikomba kwa international communities sasa mabwana zao wanawataka wafungue shule na wao wali declare mpaka January ndo shule ziwe reopened haha kenya hajawahi kuwa na msimamo.

20200825_094908.jpeg
Point to note hio screen shot ni Ukurusa wa Sonko wa Facebook ambao uko Verified.
 
Baada ya Tanzania kuruhusu *MCHEZO Mods, msahihishie mleta mada hapo kwenye kichwa. Maanake akisema michezo inamaanisha zaidi ya moja, k.m. Kenya itakuwa, raga, riadha, soka, mpira wa wavu, mpira wa vikapu, mpira wa magongo, Kriketi hadi na Kabbadi n.k, n.k. Sio kama Tz ambapo ni soka tu, ya sijui Simba na Yanga wakipiga mpira buti za juu kwa juu tu kwa dakika tisini.
hiv hamwonagi aibu..dah mmekua kama wauza uchi\nchi kwa mabeberu kisa mpewe mikopo anayotafuna kenyata
 
Ni kweli sonko aliwahi kurusha vijembe kwa JPM, Naona amegain popularity zaidi na Sonko rescue Team kipindi hichi cha Convid19 lakini Kenyata na advisors wake wamechokwa na wakenya sasa baada ya WHO kutoa statement shule zifunguliwe kuwaondoa Watoto katika risk majumbani jana waziri wao wa elimu amehara balaa hata mara aseme sijui kenyata na team yake ndio inapenda watoto wa kenya zaidi ya who na Unicef wanasahau hata hizo lockdown na curfew wanazo impose ni ili kujikomba kwa international communities sasa mabwana zao wanawataka wafungue shule na wao wali declare mpaka January ndo shule ziwe reopened haha kenya hajawahi kuwa na msimamo.

Point to note hio screen shot ni Ukurusa wa Sonko wa Facebook ambao uko Verified.
Asante sana mkuu, hawa jamaa hawana akili, hata sijui hali ya Kenya ndani ya miaka 20 ijayo itakuaje, kwa akili hizi hakuna Future Kenya
 
Baada ya Tanzania kuruhusu *MCHEZO Mods, msahihishie mleta mada hapo kwenye kichwa. Maanake akisema michezo inamaanisha zaidi ya moja, k.m. Kenya itakuwa, raga, riadha, soka, mpira wa wavu, mpira wa vikapu, mpira wa magongo, Kriketi hadi na Kabbadi n.k, n.k. Sio kama Tz ambapo ni soka tu, ya sijui Simba na Yanga wakipiga mpira buti za juu kwa juu tu kwa dakika tisini.
Picha ya kwanza, mapokezi mchezaji toka angola.

Picha ya pili, wananchi tunajiandaa na jambo letu jumapili
Screenshot_20200825-172740.jpg
Screenshot_20200825-174558.jpg
 
Wacha kutoka nje ya mada, Kenya endeleeni kuiga Tanzania kwasababu hamna akili, mlizuia michezo Mara siku ambayo Kenya ilikuwa na mgonjwa mmoja tu bila kifo hata kimoja, sasa hivi wagonjwa zaidi ya 32K na vifo zaidi ya 530, mnataka kuruhusu michezo ili kuiga Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili zao zimeshikwa na mabeberu
Siku hizi Yule waziri wao hatoi takwimu na kutaja watanzania
 
Back
Top Bottom