Jambazi vipi wewe ulishachora????
Dogo anajua sana jinsi ya kutafuna kila kitu cha Shilole... kuanzia nyama hadi mifupa... hataki kuacha kitu.yule Mpenzi wa Shilole Nuhu Mziwanda ameamua kuchora tatoo mkononi yenye sura ya shilole kuonesha mapenzi yake kwa bidada.
Msichana mwenyewe huyo haeleweki hiv kweli shilole hamegwi nje
Pole yake....
Tatoo siwezi kuchora hata siku moja na ikibidi haiwezi kuwa ya mpenzi wala mke wangu..... Labda mwanangu au mama yangu.... Hawa wanawake tunaoachana nao kila siku anichafulie ngozi yangu?!?!
Weka picha