Baada ya Tatoo ya Jina, Nuhu Mziwanda achora tatoo yenye sura ya Shilole

Baada ya Tatoo ya Jina, Nuhu Mziwanda achora tatoo yenye sura ya Shilole

Sie tunawasikilizia tu siku wakimwagana na hivi Shilole hua hafichi kitu,au anaona sifa hizo tattoo ninii
Wachekaji tupo tu mwanzo mwishooo kwa hiyo Nuhu ajiandaee
 
yule Mpenzi wa Shilole Nuhu Mziwanda ameamua kuchora tatoo mkononi yenye sura ya shilole kuonesha mapenzi yake kwa bidada.
Dogo anajua sana jinsi ya kutafuna kila kitu cha Shilole... kuanzia nyama hadi mifupa... hataki kuacha kitu.
 
Nick Cannon alichora jina la mariah carey mgongoni now kaimodify imekuwa freemason symbol hahahahaa Hiyo ndiyo mahaba ninyonge.
 
Eeh Mungu niepushe na toto jinga kama mziwanda...sipati picha mama yake anaumia kiasi gani (hata angekua jimama la mjini mtoto ni mtoto tu jamani)
Akivyokolea akiambiwa hata amtukane mama yake atafanya hivyo....uwiiiii itabidi nimtafute shishi anipe siri ya penzi jamani hii ni hatari ...
 
Hahahaa mahaba nipoteze km ndege ya Malaysia nisionekane kabisaaa. Nuhu bado Mgeni kwenye ulimwengu wa mahabati akishakuwa mwenyeji atajutia kosa alilofanya.
 
mmmmhhh!!!
ee mola niepushe kizazi changu na hili
kijana naona ajazidi kujididimiza tu
 
Picha ya tatoo na maneno ya shishi baby Moderator iweke page ya mwanzo attachment
 

Attachments

  • 1414390948425.jpg
    1414390948425.jpg
    64.5 KB · Views: 476
Last edited by a moderator:
Pole yake....

Tatoo siwezi kuchora hata siku moja na ikibidi haiwezi kuwa ya mpenzi wala mke wangu..... Labda mwanangu au mama yangu.... Hawa wanawake tunaoachana nao kila siku anichafulie ngozi yangu?!?!

sina cha kuongeza...umeongea utadhani upo akilini mwangu
 
Hiyo picha aliemchora hata hajuii hata hafanani na Shilole
 
kwa raha zake wala Hagombwi,amefanya inavyompendeza, I hope tayari anayo Plan B incase wakiachana atajua cha kufanya,mi sioni shida ,ajichore tu hata papuchi aichore
 
Back
Top Bottom