kwa raha zake wala Hagombwi,amefanya inavyompendeza, I hope tayari anayo Plan B incase wakiachana atajua cha kufanya,mi sioni shida ,ajichore tu hata papuchi aichore
wakiachana anafuta..nothing wrong
Maskini Nuhu ameona hawezi kuhonga Range bora achore Tattoo tu ili azidi kupendwaa tu uwezo wake umeishia kujichora
Picha ya tatoo na maneno ya shishi baby Moderator iweke page ya mwanzo attachment
Na kuhonga kipaji kuna watu wana hela zao ili hata bajaj haunusi
Na kuhonga kipaji kuna watu wana hela zao ili hata bajaj haunusi
Sasa Nuhu ni mbana pua tu anahonga epo
Ha ha hilo nalo neno sio wote wenye kipaji hicho
Yani huwa nakaonea huruma maana naona ugumu wa maisha au kutaka mambo makubwa ndio unamfanya awe vile.Hata hilo apple mpaka hela apewe na bi mkubwa
Mambo ya Mahaba nipeleke West Africa nikateketee kwa Ebola yule Mpenzi wa Shilole Nuhu Mziwanda ameamua kuchora tatoo mkononi yenye sura ya Shilole kuonesha mapenzi yake kwa bidada.
Hii imekuja siku chache baada ya Shilole kuwashukia wanaomsema vibaya mpenzi wake kuwa ni mtoto, anambembenda kwasababu wapo kama mtu na mwanae,mara kijana anapenda kulelewa.Ndio Shilole alijibu kuwa huyo si mtoto kwani mapenzi anayompa chumbani ni mazito na angekuwa mtoto asingekuwa analilia mapenzi bali angekuwa analilia nyonyo kwa mama ake.
Baada siku kadhaa ndio kijana huyo akaibuka na tatoo ya hiyo kudhihirisha mapenzi kwa mwanadafada huyo. Hii ni tatoo ya pili Nuhu kujichora baada ya ile ya kwanza yenye jina la ShishiBaby.
Btw hatuombei waachane ila siku wakiachana sijui itakuwaje?
Huyu kijana angekuwa ni mdogo wangu ningehakikisha namtandika makofi matatu ya nguvu ili kumzinduwa.
Mwanamke anamcholesha vibaya, eti analilia mapenzi mara sijui kaniganda, huyu mwanaume hawezi kuwa na sauti kwenye mahusiano hayo.
Hahahaaaa usimcheke mkuu huwezi jua anapewa nini ambacho na wewe ungepewa tungekushangaa!!!
Kumbe!! ........
To me nitampenda mwanamke kwa sababu anastahili kupendwa lakini siyo kupagawa, na sidhani kama kuna jipya kwa mwanamke la kunipagawisha.
Kumbe!! ........
To me nitampenda mwanamke kwa sababu anastahili kupendwa lakini siyo kupagawa, na sidhani kama kuna jipya kwa mwanamke la kunipagawisha.