Baada ya Tatoo ya Jina, Nuhu Mziwanda achora tatoo yenye sura ya Shilole

Baada ya Tatoo ya Jina, Nuhu Mziwanda achora tatoo yenye sura ya Shilole

kwa raha zake wala Hagombwi,amefanya inavyompendeza, I hope tayari anayo Plan B incase wakiachana atajua cha kufanya,mi sioni shida ,ajichore tu hata papuchi aichore

Hahahaaaaa kweli wewe ni baunsa...achore hadi papuchi jamani???
 
Huyu nae akili zake za kushikiwa.Huyo mwanamke siku akimuacha anabaki kulia kulia kama yule wa dida
 
Utoto unamsumbua tu!nani alisema kujitoboa toboa ndio kuonyesha mapenzi ya kweli?ngoja akue kue aanze kujuta
 
Mi kati ya makitu ambayo siwezi kujichora na hayo matatoo majority ya watu wanaiga huyu Mziwanda ana mambo kweli siku wakiachana sijui atafanyaje limbukeni wa mapenzi
 
Picha ya tatoo na maneno ya shishi baby Moderator iweke page ya mwanzo attachment

Huyu kijana angekuwa ni mdogo wangu ningehakikisha namtandika makofi matatu ya nguvu ili kumzinduwa.

Mwanamke anamcholesha vibaya, eti analilia mapenzi mara sijui kaniganda, huyu mwanaume hawezi kuwa na sauti kwenye mahusiano hayo.
 
Last edited by a moderator:
Yani huwa nakaonea huruma maana naona ugumu wa maisha au kutaka mambo makubwa ndio unamfanya awe vile.Hata hilo apple mpaka hela apewe na bi mkubwa

Ndio hivyooo eeeee atajijuuuuuu
 
Mambo ya Mahaba nipeleke West Africa nikateketee kwa Ebola yule Mpenzi wa Shilole Nuhu Mziwanda ameamua kuchora tatoo mkononi yenye sura ya Shilole kuonesha mapenzi yake kwa bidada.

Hii imekuja siku chache baada ya Shilole kuwashukia wanaomsema vibaya mpenzi wake kuwa ni mtoto, anambembenda kwasababu wapo kama mtu na mwanae,mara kijana anapenda kulelewa.Ndio Shilole alijibu kuwa huyo si mtoto kwani mapenzi anayompa chumbani ni mazito na angekuwa mtoto asingekuwa analilia mapenzi bali angekuwa analilia nyonyo kwa mama ake.

Baada siku kadhaa ndio kijana huyo akaibuka na tatoo ya hiyo kudhihirisha mapenzi kwa mwanadafada huyo. Hii ni tatoo ya pili Nuhu kujichora baada ya ile ya kwanza yenye jina la ShishiBaby.

Btw hatuombei waachane ila siku wakiachana sijui itakuwaje?

attachment.php

Heaven on Earth nakufananisha na mdada mmoja hivi mwandishi wa habari wa bamaga pale au ndio wewe? sina nia mbaya lakini kuuliza hivi.
 
Last edited by a moderator:
Huyu kijana angekuwa ni mdogo wangu ningehakikisha namtandika makofi matatu ya nguvu ili kumzinduwa.

Mwanamke anamcholesha vibaya, eti analilia mapenzi mara sijui kaniganda, huyu mwanaume hawezi kuwa na sauti kwenye mahusiano hayo.

Hahahaaaa usimcheke mkuu huwezi jua anapewa nini ambacho na wewe ungepewa tungekushangaa!!!
 
Hahahaaaa usimcheke mkuu huwezi jua anapewa nini ambacho na wewe ungepewa tungekushangaa!!!

Kumbe!! ........

To me nitampenda mwanamke kwa sababu anastahili kupendwa lakini siyo kupagawa, na sidhani kama kuna jipya kwa mwanamke la kunipagawisha.
 
Kumbe!! ........

To me nitampenda mwanamke kwa sababu anastahili kupendwa lakini siyo kupagawa, na sidhani kama kuna jipya kwa mwanamke la kunipagawisha.

Wacha weeeee >>maumivu makaliiii aiseee
 
Kumbe!! ........

To me nitampenda mwanamke kwa sababu anastahili kupendwa lakini siyo kupagawa, na sidhani kama kuna jipya kwa mwanamke la kunipagawisha.

Mpwa nipe nafasi uone nitakavyokupagawisha.....
mbona utachora sura yangu tu LOL
 
Back
Top Bottom