Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
- Thread starter
-
- #61
Heaven umenichekesha hhhhhhhhaaaaaa
Heaven on Earth nakufananisha na mdada mmoja hivi mwandishi wa habari wa bamaga pale au ndio wewe? sina nia mbaya lakini kuuliza hivi.
We kazi anayo na unaambiwa maumivu ya kufuta si mchezo
yani huwa nakaonea huruma maana naona ugumu wa maisha au kutaka mambo makubwa ndio unamfanya awe vile.hata hilo apple mpaka hela apewe na bi mkubwa
We kazi anayo na unaambiwa maumivu ya kufuta si mchezo
Tatizo siyo maumivu! tatizo ni hela ya kuzifuta labla ukute kajichora na makerpen ila siyo ile tatoo nayo ijua mim! jaribu kulizia bei ya kufuta tatoo!
Katika watu wasio na akili huyu mwanaume anaongoza
Naombea aachwe ili aibebe dunia
Huyu kijana angekuwa ni mdogo wangu ningehakikisha namtandika makofi matatu ya nguvu ili kumzinduwa.
Mwanamke anamcholesha vibaya, eti analilia mapenzi mara sijui kaniganda, huyu mwanaume hawezi kuwa na sauti kwenye mahusiano hayo.
Sikuamini kumuona mbele ya TV akionesha tattoo akisema ndio njia pekee ya kuonesha anapenda!
Bila shaka itakuwa ni shukrani ya kulelewa ili jamaa lilinikera sana aisee..bure kabisa!
Kabaki kua msindikizaji wa Shilole akienda Saloon akae amsubiri hadi amalize..... akienda kutengeneza kucha ye akae nje asubiri amalize.., ndio maisha aliyochagua hayo
Mpwa nipe nafasi uone nitakavyokupagawisha.....
mbona utachora sura yangu tu LOL