Baada ya Tatoo ya Jina, Nuhu Mziwanda achora tatoo yenye sura ya Shilole

Baada ya Tatoo ya Jina, Nuhu Mziwanda achora tatoo yenye sura ya Shilole

We kazi anayo na unaambiwa maumivu ya kufuta si mchezo

Tuwahesabie siku tu sie watatuongezea siku za kuishi kwa kucheka,Wanachafua ngozi tu Mme wa maria kashindwa kuifuta kaongezea nyingine kwa juu yake nae atafanya hivyo huku machoz yanamtokaaa
 
IMG_20141026_142117.jpg
 
We kazi anayo na unaambiwa maumivu ya kufuta si mchezo

Tatizo siyo maumivu! tatizo ni hela ya kuzifuta labla ukute kajichora na makerpen ila siyo ile tatoo nayo ijua mim! jaribu kulizia bei ya kufuta tatoo!
 
Tatizo siyo maumivu! tatizo ni hela ya kuzifuta labla ukute kajichora na makerpen ila siyo ile tatoo nayo ijua mim! jaribu kulizia bei ya kufuta tatoo!

Hebu sema beii maana sie wengine tunayaona tu kwa watu kama Nuhu
 
Duu huyu dogo bhana alinishangaza sana siku ya ijumaa EATV baada ya kuona anaeleza kuhusu hiyo tatoo.. na nasikia ameichora kwa 400,000!

Huyu jamaa kama ana bememendwa vile japo amezidiwa miaka miwili na shilole na hata ukimuona anaonekana ni mdogo sana kuanzia hata akili!

Mimi naamini ni utoto!
 
Katika watu wasio na akili huyu mwanaume anaongoza

Naombea aachwe ili aibebe dunia

Sikuamini kumuona mbele ya TV akionesha tattoo akisema ndio njia pekee ya kuonesha anapenda!

Bila shaka itakuwa ni shukrani ya kulelewa ili jamaa lilinikera sana aisee..bure kabisa!
 
Huyu kijana angekuwa ni mdogo wangu ningehakikisha namtandika makofi matatu ya nguvu ili kumzinduwa.

Mwanamke anamcholesha vibaya, eti analilia mapenzi mara sijui kaniganda, huyu mwanaume hawezi kuwa na sauti kwenye mahusiano hayo.

anatia hasira.........kama unaweza unampeleka hata kwa wanajeshi wakamtie akili......
 
Sikuamini kumuona mbele ya TV akionesha tattoo akisema ndio njia pekee ya kuonesha anapenda!

Bila shaka itakuwa ni shukrani ya kulelewa ili jamaa lilinikera sana aisee..bure kabisa!

Kabaki kua msindikizaji wa Shilole akienda Saloon akae amsubiri hadi amalize..... akienda kutengeneza kucha ye akae nje asubiri amalize.., ndio maisha aliyochagua hayo
 
Kabaki kua msindikizaji wa Shilole akienda Saloon akae amsubiri hadi amalize..... akienda kutengeneza kucha ye akae nje asubiri amalize.., ndio maisha aliyochagua hayo

Kuna watu wana kera huyu jamaa siku ya ijumaa alinikera sana! Halafu nimegundua anahitaji kuongelewa ndio maana! Yani ndugu zake wanalia kila muda unaweza kukuta!

Halafu kakasema kanategemea kumvisha Pete Shilole soon!
 
Mpwa nipe nafasi uone nitakavyokupagawisha.....
mbona utachora sura yangu tu LOL

Mpwa bado sijakusahau ulivyonigandisha pm.........

BTW am too old kwa huo utoto, kuna vitu vingi vya kukuonesha mapenzi yangu lakini siyo Tatoo.
 
hako katoto katakua ni kajanja hyo ndio means aliyoichagua ili amchune huyo dem vizur. ukute hapo hata hajapagawa na hilo penzi wala nn. Ukiwa mvivu wa kufanya kazi lazima uwe mbunifu kama yy anavyomchuna hyo dem. Mjini hapa
 
Back
Top Bottom