Baada ya tcu,,tcu,,,kumaliza,,,sasa jamv,,,yatia presha sasa kwa heslb,,heslb,,,

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Sasa kaz imebaki kwa heslb,,,,kuwatia presha hawa jamaa ni kitu cha muhimu sana,,,wanajamv,,,,maana ili jukwaa wanapitia watu wengi sana,,,wadau wa heslb,,pia wanapitia sana tu,,,Alafu wiki mbili zilizopita rais wa Tz,,aliitaka tcu kudaili wanafunzi wengi,,sababu kuna upungufu mkubwa sana,,,mahadhiri wa vyuo mbalimbali,,,na madakitali,,,sasa kutamka hivyo,,maana yake ni kwamba heslb wameiwezesha,,,na kweli tcu,,wameongeza muda wa vijana wapya kuapply.sasa itakuwa ajabu kama heslb watawanyima baadhi ya wanafunzi mikopo,,,,mim sitwaelewa,,sijui wenzangu,,,,:fish::A S 27:
 
Yote Mungu mdo anajua!tulia na umtegemee Mungu wako kulingana na iman yako!
 

Kwa uandishi huu nadhani hukuhitimu Elimu ya Msingi, bali ulipita Elimu ya Msingi.
Hata hivyo sidhani vilevile kama Bodi ya Mikopo wanahitaji "presha" kutoka kwako ili watimize wajibu wao. Punguza "presha", Mkopo utapata, kama unastahili, na baada ya masomo utajaribu kukwepa kurejesha mkopo huo kama maelfu ya wenzako waliokutangulia.
Tumia muda huu kujiandaa kwenda kuelimika na sio kupitia huko ulikochagukiwa kwenda. Maandalizi mema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…