Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,389
- 25,291
Tumeona barua ya maelekezo kutoka TEC kuhusu kufanya ibada maalum ya kuwaombea waliofariki kutokana na matukio yaliyotokea 29/10/2025.
Lakini kwa madhehebu mengine ikiwemo TAG, KKKT, SDA, Morovian n.k, na hata dini nyingine kama Waislam, wapo kimya!
Je hawa ni kwamba wameogopa ama wanapinga hili suala!
Tanzania ni moja tuungane!
Lakini kwa madhehebu mengine ikiwemo TAG, KKKT, SDA, Morovian n.k, na hata dini nyingine kama Waislam, wapo kimya!
Je hawa ni kwamba wameogopa ama wanapinga hili suala!
Tanzania ni moja tuungane!