hapo ondoa TAG na SDA, bakisha KKKTTumeona barua ya maelekezo kutoka TEC kuhusu kufanya ibada maalum ya kuwaombea waliofariki kutokana na matukio yaliyotokea 29/10/2025.
Lakini kwa madhehebu mengine ikiwemo TAG, KKKT, SDA, Morovian n.k, na hata dini nyingine kama Waislam, wapo kimya!
Je hawa ni kwamba wameogopa ama wanapinga hili suala!
Tz ni moja tuungane!