Baada ya tendo, tumbo huuma!

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,646
Habari za Leo madaktari,

Mke wangu tukimaliza tendo huumwa na tumbo linalo ambatana na kichefuchefu na uchovu wa mwili ni miaka miwili tangu tuoane nimekwisha mpeleka hospital sana na hupewa dawa lakini tatizo bado lipo.

Juzi tumeenda tena tukaambiwa inabidi asafishwe sasa nikaona kabla hajasafishwa kwanza niombe ushauri hapa.

NB hajawahi kuzaa wala hajawahi kushika ujauzito

Msaada wenu Tafadhali.
 
Kaka yangu mtumwa, hongera kwa kupata jiko. Punguza dozi utamuua mtoto wa watu bwana .
 
Jamni mbona hamelewi mda hizo siyo dawa useme tatizo ni dozi kwa nn msisema hayo manii ni chafu,au damu hazipatani?
 
Slave,hebu kapimeni damu zenu kwanza,ujue uko grup gani na yeye vile vile
 
Mkuu matatizo ya kina mama hasa uzazi yanaitaji tabibu bingwa sio tu kila tabibu.
Sababu zinaweza kuwa zaidi ya hizi.
1~mkeo anauvimbe kwenye kizazi
2~mzunguko wake wa hedhi haueleweki,siku zake hazina mpangilio mzuri
3~mayai yake hayapevuki vizuri hivyo kufanya yabakie kuwa viza
 
labda una uume mkubwa mapaka unasukuma kizazi cha mwenzio embu mkiwa mnafanya fanya kijuu juuu
 
Nafikili shwara la uzazi unaweza muona Dr mwaka ndo professional yake mkuu
 
Slave,hebu kapimeni damu zenu kwanza,ujue uko grup gani na yeye vile vile

="lady mmarangu, post: 15286055, member: 342962"]Slave,hebu kapimeni damu zenu kwanza,ujue uko grup gani na yeye vile vile[/QUOTE]
Asante naanza na ushauri huu kwanza
 
hilo ni chango kama hatumii dawa za kuzuia mimba tiba ipo na ushaidi kuwa ndani ya mwenzi mkeo anapata mimba na akipata mimba ndo anepona hilo ttzo
 
Kufanya kijuu juu ndio inakuwaje? Halafu mchi mkubwa kumbe nao ni tatizo meanwhile Rubii alisema vibamia havifai style flani.
Ukiwa mkubwa unagonga kwenye ukutu wa uzazi unausogeza.. Kiju uu unaingiza nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…