Baada ya tendo, tumbo huuma!

Baada ya tendo, tumbo huuma!

Habari za Leo madaktari,

Mke wangu tukimaliza tendo huumwa na tumbo linalo ambatana na kichefuchefu na uchovu wa mwili ni miaka miwili tangu tuoane nimekwisha mpeleka hospital sana na hupewa dawa lakini tatizo bado lipo.

Juzi tumeenda tena tukaambiwa inabidi asafishwe sasa nikaona kabla hajasafishwa kwanza niombe ushauri hapa.

NB hajawahi kuzaa wala hajawahi kushika ujauzito

Msaada wenu Tafadhali.
"fanya mazoezi mara kwa mara hilo sio tumbo, ila kwenye mfumo wa kibofu na mirija ya mbegu ndo kuna some issues"
 
Back
Top Bottom