Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
"fanya mazoezi mara kwa mara hilo sio tumbo, ila kwenye mfumo wa kibofu na mirija ya mbegu ndo kuna some issues"Habari za Leo madaktari,
Mke wangu tukimaliza tendo huumwa na tumbo linalo ambatana na kichefuchefu na uchovu wa mwili ni miaka miwili tangu tuoane nimekwisha mpeleka hospital sana na hupewa dawa lakini tatizo bado lipo.
Juzi tumeenda tena tukaambiwa inabidi asafishwe sasa nikaona kabla hajasafishwa kwanza niombe ushauri hapa.
NB hajawahi kuzaa wala hajawahi kushika ujauzito
Msaada wenu Tafadhali.