Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi na yeyey Diva kafukuzwa? Jana niliangalia ze komedi wanasema akina B12 wamefukuzwa kazi tena kwa kutolewa studio kwa nguvu na Bosi Kusaga na kukabidhiwa barua getini z akufukuzwa kazi. Hebu Money Stunna tuambie kama ni kweli hii kitu
hivi na yeyey diva kafukuzwa? Jana niliangalia ze komedi wanasema akina b12 wamefukuzwa kazi tena kwa kutolewa studio kwa nguvu na bosi kusaga na kukabidhiwa barua getini z akufukuzwa kazi. Hebu money stunna tuambie kama ni kweli hii kitu
ha ha ha ha ipo siku wavuta bangi watatamani urais
pindi chana anayevaa kikuku naye ni mbunge unasemaje?lusinde,nkamia hadi kawa waziri..bunge letu wengi ni hovyo especially ccm.Alianzia mvuta bangi wa Morogoro akatangaza nia sasa na huyu nae ni mbunge..??
Hivi ubunge ndio umekua rahisi kiasi hiki no offense ila kesho mtamsikia na shilole nae katangaza nia...
pindi chana anayevaa kikuku naye ni mbunge unasemaje?lusinde,nkamia hadi kawa waziri..bunge letu wengi ni hovyo especially ccm.
anataka sauti yake isikike mara ngapi..........si huwa tunamsikiaga all the time kwenye Ala za roho