Baada ya tetesi kuwa kafukuzwa clouds fm diva ametangaza kugombania ubunge 2015

Baada ya tetesi kuwa kafukuzwa clouds fm diva ametangaza kugombania ubunge 2015

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=1]BAADA YA TETESI KUWA KAFUKUZWA CLOUDS FM DIVA AMETANGAZA KUGOMBANIA UBUNGE 2015[/h]
Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ikiwa na maneno haya chini.
 
anataka sauti yake isikike mara ngapi..........si huwa tunamsikiaga all the time kwenye Ala za roho
 
Ubunge Ubunge, kwa nini hawa madogo yasianzie kwenye Udiwani maana ndio kuna kero nyingi kwa wananchi, heri yao wagombeao bila uzoefu toka shina.
 
Hivi na yeyey Diva kafukuzwa? Jana niliangalia ze komedi wanasema akina B12 wamefukuzwa kazi tena kwa kutolewa studio kwa nguvu na Bosi Kusaga na kukabidhiwa barua getini z akufukuzwa kazi. Hebu Money Stunna tuambie kama ni kweli hii kitu
 
Last edited by a moderator:
Kwa aina ya bunge na wabunge tulionao bungeni sina shaka hata yeye anaweza kuwa mbunge.
 
Alianzia mvuta bangi wa Morogoro akatangaza nia sasa na huyu nae ni mbunge..??
Hivi ubunge ndio umekua rahisi kiasi hiki no offense ila kesho mtamsikia na shilole nae katangaza nia...
 
hivi na yeyey diva kafukuzwa? Jana niliangalia ze komedi wanasema akina b12 wamefukuzwa kazi tena kwa kutolewa studio kwa nguvu na bosi kusaga na kukabidhiwa barua getini z akufukuzwa kazi. Hebu money stunna tuambie kama ni kweli hii kitu

mkuu na wewe umenasa kwenye mtego wa maigizo ya cloudas media group.
Wanatatu attention yenu hakuna aliyefukuzwa wala kusimamishwa.

Subiri february uone.
 
Last edited by a moderator:
Alisema toka zamani sana na Mange piaaa,yaani hawaa wameona hela za kuhongwa hazitoshi za ubunge ni nyingi maana wakipata ubunge ni dili watakomaje mjini
 
Labda ubunge wa viti maalum lkn wakuchaguliwa hapiti ng'o hana hata sifa moja ya kuwa mbunge hakuna kitengo cha mapenzi
 
ha ha ha ha ipo siku wavuta bangi watatamani urais
 
Diiiih kachelewa maana ubunge wa namna hii ulikua awamu hii cjui km awamu ijayo watoto wa kike wazuri watapewa kipaumbele.
 
Alianzia mvuta bangi wa Morogoro akatangaza nia sasa na huyu nae ni mbunge..??
Hivi ubunge ndio umekua rahisi kiasi hiki no offense ila kesho mtamsikia na shilole nae katangaza nia...
pindi chana anayevaa kikuku naye ni mbunge unasemaje?lusinde,nkamia hadi kawa waziri..bunge letu wengi ni hovyo especially ccm.
 
pindi chana anayevaa kikuku naye ni mbunge unasemaje?lusinde,nkamia hadi kawa waziri..bunge letu wengi ni hovyo especially ccm.

Kwhy unaona ni sawa tu Diva awe mbunge...sasa cjui ni jimbo gani...na ka kalenga viti maalumu katiba mpya haina hiyo kitu...so imekula kwake bad timing :banghead:
 
Back
Top Bottom