Baada ya teuzi, sasa Media za Tanzania zimeshawekwa 'Mfukoni' na Mamlaka

Baada ya teuzi, sasa Media za Tanzania zimeshawekwa 'Mfukoni' na Mamlaka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi.

Maziko ya Media Tanzania yamefana.
 
IMG_20210528_133707.jpg
 
Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao!

Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa nafasi hizi Zaid ya kuwajaza WAUZA sura na wapiga picha na kushinda instagram muda wote!

Hivi jokate kweli ni wa kupelekwa Temeke!
Kweli Nicki wa pili ndo mkuu wa wilaya?

Vyeo hivi havina hadhi tena labda Sasa tuseme ni mabalazo wa kuitangaza serikali na si wakuu wa wilaya
 
Chalamila ndio product ya Political Science Mwl wao Dr Bashiru nadhani umeelewa sasa
 
nao ni watanzania jamani, watanzania tuko zaidi ya 50mil....wengine tufanye kazi nyingine na walioteuliwa tuwaache wachape kazi..

Acheni wateuliwe wenye mtazamo wa kisasa labda wanaweza kuweka mambo sawa, kuliko kuendekeza hawa wasomi wetu wasio na exposure ya maisha mwisho wake disaster tu kila siku....

UDC ni cheo cha kisiasa kiko kwa ajili ya kulinda maslahi ya chama wilayani na kuhakikisha Rais anapata mwakilishi kila mahala....its like a robotic position and you will go according to the setting, if the switch is on you will be on...UDED na URAS naamini ndio vyeo vinavyohitaji wenye uelewa na wapiga kazi....

Mama utukumbuke na sisi waganga njaa wa humu JF bila kuwasahau wasafiri aka wakanyagiaji..
 
Back
Top Bottom