nao ni watanzania jamani, watanzania tuko zaidi ya 50mil....wengine tufanye kazi nyingine na walioteuliwa tuwaache wachape kazi..
Acheni wateuliwe wenye mtazamo wa kisasa labda wanaweza kuweka mambo sawa, kuliko kuendekeza hawa wasomi wetu wasio na exposure ya maisha mwisho wake disaster tu kila siku....
UDC ni cheo cha kisiasa kiko kwa ajili ya kulinda maslahi ya chama wilayani na kuhakikisha Rais anapata mwakilishi kila mahala....its like a robotic position and you will go according to the setting, if the switch is on you will be on...UDED na URAS naamini ndio vyeo vinavyohitaji wenye uelewa na wapiga kazi....
Mama utukumbuke na sisi waganga njaa wa humu JF bila kuwasahau wasafiri aka wakanyagiaji..