Baada ya teuzi, sasa Media za Tanzania zimeshawekwa 'Mfukoni' na Mamlaka

Kinondoni + Kigamboni + Mwanga

#YNWA
 
Wanadamu wote nisawaa. Acha wivu na fitina. Kama uko ivooo unajipalilia makaa ya laana ya mafanikio. Kwani hao uliowataja wanakosa gani??
 
Kikubwa watu wapate teuzi. Hayo mengi baki nayo wewe.
 
Nadhani kati ya vyeo ambavyo havina hadhi wala umaana ni pamoja na hii nafasi ua uDC maana ni nafasi anayopewa mtu yeyote, kuanzia mcheza ngoma mpaka lecturer.
 
Hapo hakuna wakuu wa wilaya. Kuna wawakilishi wa chama cha mapinduzi.
 
Nadhani kati ya vyeo ambavyo havina hadhi wala umaana ni pamoja na hii nafasi ua uDC maana ni nafasi anayopewa mtu yeyote, kuanzia mcheza ngoma mpaka lecturer.
vigezo ni hivi

1. Lazima uwe umegombea ubunge ukatemwa

2. Wasaliti wa vyama pinzani yaani mamluki akina katambi.
 
paragraph ya kwanza na ya pili πŸ‘πŸ‘
 
Yaani umtoe lecturer chuo akawe disii...naiona kama demotion [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…