Hizi nafasi za u-DC siku hizi ni kama sadaka lawe mwenye kupata apate.
Mkuu wa majeshi?DC darasa la saba
DC PhD holder
DC mgambo
DC mkuu wa majeshi mstaafu
DC ..waziri wa zamani
DC muigizaji bongo movie...
Hiki ndo cheo cha ajabu kuliko vyote Tanzania
Mnayemuona mbele ni Rais Samia Suluhu Hassan lakini kwa nyuma kuna kivuli cha Magufuli kipo bado kinaendesha mambo.Amemaanisha nini hapo kwa ulivyomuelewa?.
Chuma kikapata kutu kikafaChuma JPM kilinoa chuma SSH
Endelea kupumzika kwa amani kipenzi chetu JPM
Mungu tunakuomba tutunzie mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan na kazi iendelee
Duh kumbe ndivyo inavyokuwa duhKupulizia ( Kuroga ) + Kuhonga + Kumlilia wa Msoga + Kutoa Kafara + Maombi kidogo kwa Mungu + Kujipendekeza = Mama Kukuteua.
Hizo fikra zako mkuuKuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka ( Serikali ) na Kusifia ( Kupanba ) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi.
Maziko ya Media Tanzania yamefana.
Kuna mwandishi kateuliwa?Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka ( Serikali ) na Kusifia ( Kupanba ) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi.
Maziko ya Media Tanzania yamefana.
Wewe ni yupi kati yao Liverpool VPN ?
Hamna mwanataaluma wa habari hapo wote ni watangazaji tu na hawana hata shule[emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1824019
Kwa Jokate yupo vizuri usimfananishe na hao Wengine mkuuNaendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao!
Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa nafasi hizi Zaid ya kuwajaza WAUZA sura na wapiga picha na kushinda instagram muda wote!
Hivi jokate kweli ni wa kupelekwa Temeke!
Kweli Nicki wa pili ndo mkuu wa wilaya?
Vyeo hivi havina hadhi tena labda Sasa tuseme ni mabalazo wa kuitangaza serikali na si wakuu wa wilaya
mbn wachezaji Mpira maarufu hawakumbukwiNadhani kati ya vyeo ambavyo havina hadhi wala umaana ni pamoja na hii nafasi ua uDC maana ni nafasi anayopewa mtu yeyote, kuanzia mcheza ngoma mpaka lecturer.
Hivi unaweza kuwa Aircraft Engineer halafu usiwe Flight Pilot? Kwahiyo Super Brands kama IPP na Azan wanaweza Kuajiri Watangazaji ila wasiwe wamefuzu Kozi za Uandishi wa Habari? Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwajibuni Kunya ( Shombo ) kutokana na IQ's zenu Kiduchu.Kuna mwandishi kateuliwa?
Maana nyangasa, na mwaipaya ni watangazaji tu hata sjui kama wamesoma
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Sijui kwanini ' Michael Sarpong ' hayupo.mbn wachezaji Mpira maarufu hawakumbukwi
Kumbuka hao ni magraduate pia[emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1824019
Wakabambike vizuri Watu Kesi za Bangi.Nmeona Hadi mapolisi wameteuliwa udc