Baada ya teuzi, sasa Media za Tanzania zimeshawekwa 'Mfukoni' na Mamlaka

Utakuwa humjui Nikki mkuu.

Halafu alikwambia nani kusoma political science ndiyo kuwa kiongozi mzuri?

Mandela aliyesifika Sana Afrika alisoma sheria. Nyerere alikuwa Mwalimu.

Zuma hakusoma kabisa!
Huyo jamaa hajielewi kabisa. Anataka nafasi zote za kisiasa wawekwe waliosoma Political Science tu
 
Political science tayari imefeli kwa kutuletea mtu kama wewe .... yaani una sema 'wanaokotezaokoteza WATU kuwa viongozi'? ACHA MATUSI WE KILAZA!
 
DC darasa la saba
DC PhD holder
DC mgambo
DC mkuu wa majeshi mstaafu
DC ..waziri wa zamani
DC muigizaji bongo movie...


Hiki ndo cheo cha ajabu kuliko vyote Tanzania
Toa ushamba wΓ ko Ronald Reagan Γ likuwa nani kabla hajawa rais wa mΓ rekani.?
 
Tanzania Γ±i ya wataΓ±zaΓ±ia wote, nΓ mkubali sana mama kwa teuzi hizi, ushauri wangu kwa mama, akumbuke Γ±Γ fasi kwa mlemavu Japo Γ±afasi moja. Nitafurahi sana!
 
Wew mtoto utakuwa shoga, aliyekwambia Nkki na Jokate hawana elimu ni nani ?
 
Jokate mbona ni msomi, na kagraduate juzi tu miezi ilopita kasoma uongozi institute,
Nicki wa pili nae ni msomi mkubwa tu

Tatizo lenu wengi mmejawa na dharau dhidi ya wasanii na sanaa matokeo yake wanatoboa mabaki midomo wazi hamuamini kuwa kumbe wako vizuri
 
Nadhani kati ya vyeo ambavyo havina hadhi wala umaana ni pamoja na hii nafasi ua uDC maana ni nafasi anayopewa mtu yeyote, kuanzia mcheza ngoma mpaka lecturer.
Mna dharau zimewajaa ndio maana mnaachwa midomo wazi hamuamini
Eti 'wacheza ngoma' wapo wanaocheza ngoma kwa malengo pia
Msichukulie poa msio wajua mijini
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alikuwa mtangazaji, muigizaji,motivational speaker, kiongozi wa chama cha wafanyakazi, mwanasiasa aliyeshiriki kampeni nyingi za kisiasa, gavana wa California.
Nafasi zote hizi alizapata kwa juhudi zake mwenyewe na kuchaguliwa na wananchi
Toa ushamba wΓ ko Ronald Reagan Γ likuwa nani kabla hajawa rais wa mΓ rekani.?
 
Tabu kweli kweli haina maana

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…