Baada ya teuzi, sasa Media za Tanzania zimeshawekwa 'Mfukoni' na Mamlaka


Bange siyo nzuri kijaΓ±a! Huu Γ±i ushauri wa bure!
 
Nadhani kati ya vyeo ambavyo havina hadhi wala umaana ni pamoja na hii nafasi ua uDC maana ni nafasi anayopewa mtu yeyote, kuanzia mcheza ngoma mpaka lecturer.
Wwe pendekeza,unataka nafasi ya uDC wapewe kina nani!? Tusilalamike bila ya kutoa njia mbadala, maana hata hao Wasomi wakipewa hizo teuzi,nao pia wanazinguwa muda mwingine!
 
aliyesema watz tuna roho za kimasikini,hakukosea.angalia michango ya huu mjadala.
 
Media ya TZ imejaa mavuvuzela tu na hiyo ndiyo kazi yao ktk serikali na chama

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Kwani lini tulikuwa na media Tanzania?

Labda entertainment media sawa

Ulishaona wapi professional media wanaamka asubuhi kufanya birthday ya mtangazaji au Rais na kuvunja vipindi?
Hapa bongo ukijua kusoma na kubandika tu we mwandishi wa habari,kazi za bongo hazihitaji professional zinahitani umbea,kujipendekeza na kusifia
 
Huu u- DC hauna maana tena bali ni mataputapu tupu
 
MEI 3 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Mimi Pascal Mayalla, kwa niaba yangu kama mwanahabari na kwa niaba ya kampuni yangu ya PPR as chombo cha habari, niwatakie wanahabari wenzangu wote, maadhimisho mema ya siku hii, huku nikidurusu, niliwahi kusema nini kuhusu uhuru wa habari Kwa media za Tanzania yetu.

Nawatakia uhuru wa habari mwema.
Paskali.
 
Yaani Kiongozi umeona hizi pongezi uzitolee kwenye huu uzi wa kuwananga waandishi?
 
MEI 3 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Mimi Pascal Mayalla, kwa niaba yangu kama mwanahabari ambaye ni mwandishi wa habari huru na wa kujitegemea kwa kujitolea na kwa niaba ya kampuni yangu ya PPR as chombo huru cha habari, niwatakie wanahabari wenzangu wote, maadhimisho mema ya siku hii, huku nikidurusu, niliwahi kusema nini kuhusu uhuru wa habari kwa media zetu za Tanzania yetu.

Nawatakia maadhimisho mema ya siku yetu hii ya leo na uhuru wa habari mwema.
Paskali.
 

Na hii ndiyo tunaita
"state captures"
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara WAKUBWA ama MAKUNDI binafsi yaliyo na USHAWISHI KISIASA na KIUCHUMI wanapoungana, ili kujipatia mabadiliko kwa minajiri ya kuwanufaisha wao binafsi.
Kwa ushirika wa pamoja na hivyo kuhodhi nyanja kuu za uchumi wa pato la taifa,kwa njia za kifisadi na ubadhirifu.

Hii itamgharimu sana sana, maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.Tanzania, kama taifa, ina safari ndefu sana! Selfish politicians serving their own selfish bellies at the expense of the masses.

Hii ni Pathetic kabisaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…