Baada ya TPL kukosa ushindani.. Hili lifanyike.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Mpaka sasa TPL imekosa ushindani kabisa.. Ligi imeanza Bingwa kashajulikana mapema naye si mwingine bali ni Simba SC. Njia pekee ya kuwapa changamoto hawa mabingwa watarajiwa, ni kuigawa hii timu, na kutengeza timu 2. Hii itawapunguza kasi hawa jamaa.. Pia itapunguza dozi zinazotolewa kwa timu pinzani. Timu hizo 2 ziwe kama ifuatavyo:

Team A.
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Yusuph Mlipili
6. Jonas Mkude
7. Mohammed Ibrahim
8. Hassan Dilunga
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Adam Salamba
Kikosi Cha Akiba
1. Ally Salim
2. Vicent Costa
3. Abdul Seleman
4. Mzamiru Yasin
5. Rashid Juma
6. Abdul Hamis


Team B.
1. Deogratius Munishi
2. Nicolas Gyan
3. Asante Kwasi
4. Paul Bukaba
5. Pascal Wawa
6. James Kotei
7. Mohammed Rashid
8. Cletus Chama
9. Meddie Kagere
10. Haruna Niyonzima
11. Shiza Kichuya
Kikosi Cha Akiba
1. Salim Mbonde
2. Ally Somari
3. Marcel Kaheza
4. Said Ndemla
5. Kitandu Moses


Hii itaongeza ushindani, na bingwa anaweza akaamuliwa mechi ya mwisho ya ligi.. Lakini lisipofanyika hili mwakani mapema tu.. Simba SC anakabidhiwa kombe lake.

NB: Jana Mnyama kaendeleza wimbi la ushindi kwa msimu huu wa 2018/19 baada ya kuwagagadua ipasavyo timu bora toka Kenya, AFC Leopards 4 - 2.
Angalizo: Okwi, MK14 na Chama hawakuwepo.
 
Aisee kweli ushabiki maandazi huu,yaani kumfunga yule kipofu jana ambaye wachezaji wake muhimu walikuwa Timu ya Taifa tayari mshajiona mnajua na ubingwa mshauchukua?
 
Aisee vyura sijui watachagua kikosi kipi hapo ambacho kitawafunga angalau goli 3
 
Aisee kweli ushabiki maandazi huu,yaani kumfunga yule kipofu jana ambaye wachezaji wake muhimu walikuwa Timu ya Taifa tayari mshajiona mnajua na ubingwa mshauchukua?
Mkuu we tarehe 30/09 ungependa ukutane na Team A au B, au full mziki Simba SC?
 
Aisee vyura sijui watachagua kikosi kipi hapo ambacho kitawafunga angalau goli 3
Mkuu siku tutakayokuta nao, naona tunaenda kuvunja rekodi hizi;
1. Tutawashushia kipigo kizito katika historian ya Da es Salaam Deby, goli zaidi ya 6
2. Namuona kuna jamaa anaenda kuvunja rekodi ya King Abdallah Kibaden Mputa, kwa kufunga goli zaidi ya 3 pindi timu hizi zinapokutana.
 
Hahahahaha sipati picha hiyo siku yani hizo rekodi zitawachukua vyura miaka 1000 kuzivunja [emoji23]
 
Mkuu we tarehe 30/09 ungependa ukutane na Team A au B, au full mziki Simba SC?
Mkuu hawezi kuchagua A wala B labda hiyo siku wacheze na mashabiki labda wanaweza wakapata sare
 
Mkuu hawezi kuchagua A wala B labda hiyo siku wacheze na mashabiki labda wanaweza wakapata sare
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚.. Hiyo ndo inaweza ikawa ahueni kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…