The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
huo wa trump unaitwaje?[/QUOTE
Twitter Hovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu musk anajionaga mungu mtu. Ni freemasonry wa ajabu sana. Yani anajiona yuko juu ya dunia kwasababu tu ya mabilion yake machache na magati yake uchwara ya umeme tesla la space x yake ambsyo inachafua mazingira anga za juu.
Simpendi
unaitwa GETTRhuo wa trump unaitwaje?