Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana Elon kafanikiwa huku sisi tukiendelea kua masikini. Mentality yake ndio sababu, anaonekana anapotaka jambo lake nimtu wa kujilipua. Either azame au aibuke mshindi.Umenena vyema, mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize maswali mengi.
Au pengine ana connection huko kwenye deep state waliompa uhakika?
Umenena vyema, mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize maswali mengi.
Au pengine ana connection huko kwenye deep state waliompa uhakika?
Kaumbuka Sana 🤣🤣Bilgate sijui anajisikiaje
Apewe jimbo hapo mjiniElon atakula teuzi, hili alilisema Trump mwenyewe katika moja ya hotuba zake.
Ina maana wewe ulizaliwa na wanaume tu..😲😲wanawake viazi tu.ndiomana sipendi watoto wakike
kweli wewe ni qum.... na imeloa vibaya sanaIna maana wewe ulizaliwa na wanaume tu..😲😲